Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .

Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori

HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI

Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.

Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
rostam atasingiziwa mengi lakini mimi najua kuwa rostam ana migodi australia,irani kule caspian seas,huyo jamaa ni tajiri mkubwa sana kwa miaka mingi sana,anyway ni vigumu kuwazuia watu kutunga uongo
 
Ndugai alikuwa ni mkia wa Magufuli, hata kama aliongea ukweli matendo yake bado yanamuhukumu leo.

Ndio maana hata Polepole ni ngumu kupata sapoti ya umma, yeye ni sehemu ya matatizo tuliyonayo leo, alikuwa high table wakati shetani anasimika mifumo ya hovyo yeye anaturingishia V8!
Kama Polepole apati sapoti ya umma, kwanini watawala wanazima mitandao au unaongelea umma gani?
 
Mimi Rostam kumiliki mgodi siwezi kushangaa Je amefuata vigezo na masharti yanayotakiwa basi maana hata Mwadui hana hisa nyingi sana Alafu wanasema MO ni tajiri number moja Fack Forbes

Mwadui kwa sasa yeye ndio majority share holder dhidi ya GOT, mgodi mali yake.
NI take over iliyotokana na deni alilokuwa anawadai Petra baada ya kuwapa huduma kwa muda mrefu bila malipo.

ndani ya mitaa ya Kabul Afghanistan.
 
Ina maana haya madini ya uranium ndiyo yanapelekwa Iran kutengeneza mabomu ya kuimaliza Israel, yaani kama ndiyo hivyo tutegemee vifo zaidi maana EU na USA hawatakubali
We unaonekana akili huna na umejawa na chuki na ni mdini sana!

Nani alikwambiaga Afrika ni chimbo la waarabu kuchota mali kwa ajili ya kujinufaisha?! Na kama ni hivyo basi yameanza miaka ya hivi karibuni na kwa kificho sana! Miaka yote wazungu ndo wenye kuchota hapa na kujichukulia tu… nani alikwambia Iran wanatoa malighafi hapa?!

Fikiri kabla hujaongea… akili au umri viendane na matamshi au maandishi
 
Bro humu kuna watu bila facts zozote wanatuhumu watu vibaya
 
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .

Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori

HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI

Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.

Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
ROSTAM AZIZI NI JAMBAZI HATARI SANA ...SASA TUJIULIZE VIPI YUPO CCM ..NDIYO MAANA NILISEMA KAMA JPM ANGEMMALIZA HUYU KIUMBE HADI LEO ANGEKUWA HAI ...LEO CHADEMA WANA ANGAIKA NA WATEKAJI ILA MIMI NAWAAMBIA JEURI NA PUMZI YA WATEKAJI NA WAUAJI NCHINI NI HUYU ROSTAM AZIZI ...HUYU ANAONGA HADI MABALOZI .....
 
Na nyuma Rostam kutakuwa na wanasiasa kibao wakivuna huku vijana mkiambiwa mkaombewe kwa mwamposa mpate pesa. Watanganyika wanapigwa kwelikweli bila huruma.

Butiku alionya vijana amkeni bila hivyo mtaishiwa kutawaliwa na WAHUNI
 
Kichwa pumbu anabumba story za vijiweni
Cha ajabu humu kumejaa vidiaspora vinawachochea wabongo waandamane huku vikiwa kwenye vilaptop vyao vya mkopo…
 
Back
Top Bottom