Ikiwa CCM imeshitakiwa mahakamani, kwanini isipelekwe kesi mahakamani kuwa Rostam anafanya biashara haramu ya makaa ya mawe?Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Utamfanya nini Rostam wakati Rais anasafiri naye kwenye safari za nje kama delegation ya Wafanyabiashara?JOMO KEMYATTA alivyosema Tanzania ni Ncho ya maiti ambao hata kuamka hawawezi alikiwa na maana hii, Wadanganyika ji watu wa kuibiwa tu
Mtu kama Rostam Aziz ana skendo kibao za miaka na miaka lakini BADO YUPO NA HAMUMFANYI KITU
Wajinga nyie na Polepole wenu na nyie si mkachimbe kama mna mitajiRostam akamatwe haraka
Mpaka wakamzawadia soko porini huko dodoma kwa jina lake!Mnakosea sana mnapomjumuisha Ndugai kwenye orodha ya Wazalendo wakati hakuongea hayo kwa uchungu bali zama za Sukuma gang zilishapita.
Hakuna spika wa hovyo Tanzania kama Ndugai aliyeuwa bunge letu na kulisalimisha kwa serikali.
ChifelahWrite your reply...machedema mengi majinga na mapumbavu kuyadanganya ni rahisi sana hivi ureniam mnadhani ni kama mchanga unachima kisha unapakia kwenye lori na kusafirisha unavyotaka isijulikane hata na usa.
Taifa litapona siku huyu jamaa atakapo RIHRostam akamatwe haraka
Kosa walifanya Ccm ni kumpa uweka Hazina....wakati ule,hakuchezea fursaUtamfanya nini Rostam wakati Rais anasafiri naye kwenye safari za nje kama delegation ya Wafanyabiashara?
Rostam alitaka kufunga account za kampuni zake Crdb Dr Kimei na Top official wa Crdb walifanya kikao cha kumbembeleza abadili maamuzi na kikao kilifanyika nchini Singapore ndio akakubali kuendelea na bank ya Crdb bank ingefirisika.
Hayo majitu yaone hivyohivyo hayapo Forbes kama yule Mwamed Dewji wa Simba mpenda hype hamfikii hata chembe ukwasi wa Rostam.
Wakati anapewa uweka hazina ni tayari Billionare na Bingwa wa mikakati.Kosa walifanya Ccm ni kumpa uweka Hazina....wakati ule,hakuchezea fursa
Inawezekana ili deni lilikuwa planned ionekane Tancoal wameshindwa kulipa ili ROSTAM achukue hisa. Hii nchi ina wahuni wengi.Kwenye Coal (makaa ya mawe) RA kupitia kampuni yake ya TAIFA Hana shida yeyote maana amechukua hisa kutoka Tancoal kwenye kesi waliyoishinda mahakamani baada ya kuwa wanamdai Tancoal kutokana na huduma waliyompa kwa muda mrefu bila kulipa, Tancoal alikubali kussurender hisa zake kufidia deni.
Kuna wakati ni vyema tukatafuta taarifa sahihi.
ndani ya mitaa ya Kabul, Afghanistan.
Huyu jamaa kila Deals zenye utata yumo.Wakati anapewa uweka hazina ni tayari Billionare na Bingwa wa mikakati.
Ni utaratibu wetu waswahili uweka hazina tunampa mtu asiye na njaa hata akigusa pesa yenu mkihitaji anawarudishia fasta tu.
Kwenye Dowans nako ametuwasha jamaa.
Sema wabongo mnapenda sana kuwatuhumu watu pasipo hata na uwezo wa kuthibitisha hizo tuhuma mnapotakiwa kufanya hivyo, ili mradi tu umemsikia mwanasiasa fulani karopoka.JOMO KEMYATTA alivyosema Tanzania ni Ncho ya maiti ambao hata kuamka hawawezi alikiwa na maana hii, Wadanganyika ji watu wa kuibiwa tu
Mtu kama Rostam Aziz ana skendo kibao za miaka na miaka lakini BADO YUPO NA HAMUMFANYI KITU
Umuhimu wa kumwaga oil katika gari haukwepekiHuu mwaka,
Mifumo imeamua kujivua gamba Ili kuanza upya,
Tuww makini.
Wangeingiza ajenda ya udini 😀Utaambiwa wagalatia tupu. Hutavuka na hawa pekee. Kete ya vibalaghashia ingekuangusha.
HATUNA JESHI WALA TUSIBWABWAJE MANENO.Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo