Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Pale kawe Kuna mradi wa ujenzi wa apartments za NHC mkubwa tu

Kampuni inaonekana ya wazawa.! wakati ni jasusi la kihindi limejificha kwa vivuli vya wastaafu

Fukuzeni Hawa mbwa
Akili za kipumbavu kama zako ndo zimesababisha hadi leo nchi inalipa fidia za tangi awamu ya kwanza kwa kutaifisha kiholela mali za watu. Kabla hujachukua hatua lazima uwe na ushahidi usiotia shaka ili baadae usije ukaingia matatizo kulipa fidia.
 
Mtu anashirikiana na wewe lakini hataki kujamiiana na wewe na unaona ni mwenzako.!
Mboni Wahindi kibao tu Wamezaa na Kuzalishwa na Wabongo mkuu punguzeni hizo hayo mengine ya ufisadi sawa ila haya hapa hapana
 
Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .

Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori

HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI

Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.

Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Yaani una maana ROSTAM AZIZ, kada wa CCM?
 
Nini ushauri wako km taifa tufanye bila kujari wakati tulionao kabla hatujatanguliza kukata tamaa mbele
Swali zuri sana.

Siwezi kuingia sana ila kama Taifa mmonyoko wa maadili upo mkubwa sana,tumekosa wazee wa taifa wakiongea basi kama Taifa linakwenda ndivyo sivyo tunarudi kwenye mstari sahihi na watu tunaogopana kuambiana ukweli pale tunapokosea.

Vyombo vya ulinzi na usalama kukaa kwao kimya wakati mambo yanaenda mlama,tunaona kama wapo pamoja na wahuni.

All in all mambo yanayofanyika sasa kwa viongozi kuweka watoto wao kwenye system, Taifa linatengeneza bomu baadae, itafikia kama mzee wako akuwa kwenye system kupata uongozi itakuwa ngumu sana.

Mwisho tuache itikadi zetu za siasa, uccm, uchadema,ucuf na kadhalika tuwe kitu kimoja kukemea na kuondoa makando kando yanayosababisha kuharibika kwa Taifa letu.
 
Asante umejitahidi kupita kote mkuu ila kuna namna mamlaka zimetengeneza watu tuwe waoga wa kusema kwa kututeka ,kutupoteza nk . Swali langu ni kwanini vyombo vya ulinzi vinashiriki kutuhujumu au nao wao wamenunuliwa sasa km taifa tuko salama wapi
 
Yes inasemekana wamejipenyeza huko, hata meno mkuu wa sasa ni mwana mtandao
 
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.

Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Huyu mtu amesemwa miaka mingi sana kuwa tapeli na haramia mkuu lkn CCM ndio wanakwiba nae pamoja!
hasa wastaafu na familia zao! Bila kuiondoa CCM madarakani nchi hii ikibaki ndani ya CCM NI UKIWA KWA WATOTO NA WAJUKUU ZETU>
 
Kwa hiyo anatekeleza matakwa ya wana mtandao ndio maana anaburuza tu hijab zake?
Siongelei namba 1 naongelea meno mkuu, ni mwanamtandao.

Namba 1 ameingia kwenye mfumo wa wanamtandao. Inawezekana pia namba 1 mwanamtandao alikuwa anamuhujumu mwendazake bila kujijua
 
Siongelei namba 1 naongelea meno mkuu, ni mwanamtandao.

Namba 1 ameingia kwenye mfumo wa wanamtandao. Inawezekana pia namba 1 mwanamtandao alikuwa anamuhujumu mwendazake bila kujijua
Nimekupata mkuu kwa mwenendo huo ni sahihi hatuwezi kupata no1 mwingine kutokea upande wa mboga mboga kwa maana wana mtandoa wana sub za kutosha za kutuletea
 
Rostam akamatwe haraka
Akamatwe na nani wakati ndio wanaompangia kizmkazi nn cha kufanya, hao ndio wahuni wenyewe mkuu!
Kumbuka Rostam na JK ni marafiki na wametoka mbali...huyo ndiye alihusika pakubwa kwenye kumuingiza JK pale magogoni!
 
Kwani uchaw unapatikana wap nijitolee ata kuyaroga yn apo nafagia jk na izo nyau zake zilizopita kiujanja unja bila kupigwa
 
Kwenye Coal (makaa ya mawe) RA kupitia kampuni yake ya TAIFA Hana shida yeyote maana amechukua hisa kutoka Tancoal kwenye kesi waliyoishinda mahakamani baada ya kuwa wanamdai Tancoal kutokana na huduma waliyompa kwa muda mrefu bila kulipa, Tancoal alikubali kussurender hisa zake kufidia deni.

Kuna wakati ni vyema tukatafuta taarifa sahihi.

ndani ya mitaa ya Kabul, Afghanistan.
Hata hicho kinachoitwa taarifa sahihi, unaweza ukawa "Masked" kunakuwa na mchongo umetengenezwa kisiri Siri, ili watu Fulani wapate dili kihalali
 
Back
Top Bottom