Rostam Aziz sio wa kulaumiwa, bali ni nyinyi na viongozi wenu wa ccm wenye akili za kijamaa,
Ujamaa na kujitemea ulilipotezea nchi hii na wapigania Uhuru haki ya kumiliki uchumi wao wenyewe na ndio matunda yake haya .
MTU kumiliki gari zuri ,nyumba nzuri anaulizwa kazitoa wapi, Yan umasikini ni jambo lakujivunia hiyo ni akili au matope.
Tuwawezeshe wa TZ vijana wasomi, wakina mama ,wazee waweze kushiriki kikamilifu kwenye kulijenga Taifa lao mama Tanzania.
Kila siku wa TZ ni watu wa kulalamika TU