Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi .
Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila siku malori Kwa malori
HATIMAYE MZALENDO MH POLEPOLE , ASEMA KUA MAKAA YA MAWE NA MADINI YA URANIUM YAMEENDELEA KUCHIMBWA NA KUSAFIRISHWA KWENDA NJE YA NCHI KWA KUA NI BIASHARA YA ROSTAM AZIZI
Huu ni Uhujumu Uchumi mkubwa kuwahi Kushuhudiwa unaofanywa na Rostam Aziz.
Ikumbukwe huyu Rostam Aziz Hadi kwenye migodi ya Dhahabu yumoooo
Hili genge ndilo linalowamaliza viongozi wazalendo na wazawa wa Tanganyika hasa waxrsutos.
Kama kuna Mtangayika Mzawa Tena Mxrustos anayedhani kuwa yupo salama basi aanajidanganya sana katika nchi hii.
Hawa jamaa kwanza wana roho mbaya halafu wamedhamiria kabisa kuikabidhi nchi hii kwa watu wenye asili ya mashariki ya kati au wenye tamaduni za ukanda huo.
Watawaacha Watanganyika machawa na wasiojitambua ili wajitwalie mali zote za Tanganyika .
Ipo siku tutajua wazi nani alishiriki Kifo cha Karume ,Sokoine , Imrani Kombe, Horas Kolimba, Nyerere, Mrema, Sharifu Hamad, Deo Filikunjombe, Dr.Kijazi, Dr.Mvungi, Benard Membe, Lowasa , Mengi ,Ndesamburo, Ben Mkapa, Magufuli.
Haiwezekani hawa mafisadi yenyewe yanaishi kwa anasa katika nchi hii wakati maelfu na malaki ya Watanzania wanakufa kwa kukosa huduma ya afya kwa magonjwa ya Figo ,ini ,moyo na Kisukari.
Wakati nchi wanazotoka hao Mafisadi elimu na afya ni bure .
Wanatuibia rasilimali zetu wanapeleka kwao ili watoto wao wasome bure mpaka chuo kikuu na Wazee wao wanatibiwa figo bure.
Leo ugonjwa wa figo umekua ni mradi wa Serikali ya Samia na hana maono ya kuachana na huo mradi haramu wa kufilisi watanganyika kupitia matibabu wakati kodi na tozo zinawaumiza watnganyika wote .
Elimu shule ya msingi ni bure kabia lakni watoto hao hao wa maskni Chuo kikuu wanalipishwa mamilioni ya pesa au kukopeshwa kwa riba na bodi ya mikopo inayotumia fedha za umma vibaya kwa ubadhirifu mkubwa .
Kuna haja watangayika wakaamka haiwezekani kila baada ya miaka kumi wanatokea Wezi na kutuletea mfumo wa ufisadi na ujambazi na ugaidi katika nchi
Baada ya kuapishwa Rais Samia alikwenda Kenya kuwekeana mikataba ya kuuza makaa ya mawe kwa mamilioni ya tani .
Malori kwa maelfu yanasafirisha makaa ya mawe kwenda Kenya usiku na mchana . Na inasadikiwa hayo Malori yalinunuliwa baada ya mkataba huo na mwenyewe anajulikana .
Je, hayo makaa ya mawe yanalipiwa kodi ipasavyo na tozo na ushuru . Je, kuna usimamizi wa kujua hayo makaa ya mawe yanaingiza hizo fedha serikalini ?
Nani mmiliki wa hivyo vitalu va makaa ya mawe ? Au yanachinbwa tu kama mchanga kule kunduchi .
Mtu mmoja anatumia rasilimali zilizolindwa na Mwalimu Nyerere kwa muda mrefu sana leo zinanufaisha wahundi ,waarabu ,wachina ,wazungu,wazanzibari wawili na mtanganyika mmoja Keykwete .
Majeshi yamewekewe kule juu machawa ili wanyamazishe wapiganaji wetu wakati wao wanalipwa maslahi kidigo katika mazingira magumu ya kazi huku rasilimali za umma zikiwa zinaporwa na wageni .
Joto Beeseko ni mmoja wa mawaziri wanaohujumu hii nchi sana lakni machoni mwa watu anaonekana ni mtu mwema lakini ndiye mhujumu uchumi namba moja .
Wakati wa JPM ,Joto Beeseko alidhibitiwa asiuze ardhi yenye madini kwa wageni baada tu ya JPM kufa alifanya haraka kuuza kila eneo kwa wageni akishirikiana wanaomtuma .
. Watanganyika tumelogwa sana na hawa watu wasio na utu hata kidogo .
Lakni kama Beeseko anajidanganya kuwa yupo salama na atanufaika bila reform kwenye nchi hii basi amedanganywa labda ajibadili kuwa Muarabu . Lowasa aliwaamini sana hao watu lakni walimgeuka na kumuuzia mzigo wa ushuzi huku wao wakiwa wanakula bata .
Beeseko hao watu watakuja kumgeuka na atachafuka pakubwa ili mtandao uweke familia yao .
Hawa ndio Wahuni wajao:
Mxhegelwa Kifua kipana
Abdulkafir Sa100
Ridhishwaini Keykwete