Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

Mwigulu Nchemba,



Mlimteka Polepole baada ya kufumua Ukweli wa Rostam na Rasimali za Nchi
 
Kilichotokea ni THE REST IS HISTORY na jamaa alivyo mastermind joka la mdimu limetekeleza yake ushahidi haupo but hakuna anayelizungumzia

Jamaa wacha aitwe Mastermind of all masterminds🙌
 
Maskini loplope na TAL waligusa sehemu mbaya ,wajuvi wanadai hata Mwendazake aligusa pabaya 🙌😥
 
Hatari sana
 
THE REST IS HISTORY kwa polepole na TAL😥 ama kweli uliona mbali
 
🤔🤔🤔🤔💭
 
Polepole pia alikuwa kwenye kundi ka wanafki, kwa nini hakuitaja Ccm inayomiliki mgodi wa pili kwa ukubwa kupitia kampuni yao ya Jitegemee holdings company Limited?
Huu mgodi una PIT 7.

Rostam ana ushahidi wa kununuwa mgodi kutoka kampuni ya Tancoal iliyokuwa inamiliki mgodi huo zamani, sasa hivi ni mali yake kupitia kampuni yake ya Caspian.

Ccm walete Ushahidi wamepata vipi mgodi huo na wameuziwa na nani?
 
Hawawezi kuleta labda wafanye forgery
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…