Rigged election.. Nothing more nothing less.. !Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
Just delete databases na mifumo ya CCMHuu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
Naunga mkonoPolepole kashafanya kazi yake.
Mimi naona amemaliza hadaiwi.
Kazi kwa vyama vya siasa na wananchi wote.
Wananchi najumlisha na wale ambao ukiwakumbusha uzalendo wasimamie usawa siyo chama flani inaonekana uhaini.
Naunga mkonoPolepole katimiza wajibu wake, kilichobaki ni mimi na wewe kuchukua hatua za kukomesha huu ulaghai wa ccm.
in short,Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
Napenda kibri hii; ushaidi zaidi utatolewa, Polepole anasubiri mbishe aendelee kuyatoa ya jikoniin short,
for prosperous of our beautiful country,
This is useless and completely nonsense agenda gentleman 🐒
Ukikaa nyumbani wenzako wanatumia data za nida na kukuambia wamepiga kura asilimia 80.Wakilazimisha kufanya uchaguzi wao siku hiyo tutakaa nyumbani na familia zetu tukipiga selfie na kuonyesha vidole vyetu hatujashiriki uchaguzi batili.
KwaTwende kwenye Mapinduzi ya kweli tu.
Tutazuiaje huo uchaguzi?Ukikaa nyumbani wenzako wanatumia data za nida na kukuambia wamepiga kura asilimia 80.
Dawa ni kuzuia uchaguzi
Kama ni kosa walifanya CCM ni kuweka utaratibu mgumu wa kumfikia mwenyekiti wao Rais wa nchi chini ya chama chao! Walisahau iko siku atakuja wa kuwanyoosha hata wao na chama chao!Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
Yaani Tanzania tunashindwa hata na Somaliland?Somaliland walikuwa hivyo
Wakaja na uchaguzi mpya na wa mara ya kwanza duniani kote
Kupiga kura kutumia jicho ( Iris biometric voting)
Hapo ukawa muarobaini wa kupiga
View attachment 3448876