Polepole, sasa hilo umeliweka wazi la the Trio- NIDA-CCM-INEC. The big question is WHAT NEXT KUZUIA UCHAGUZI

Polepole, sasa hilo umeliweka wazi la the Trio- NIDA-CCM-INEC. The big question is WHAT NEXT KUZUIA UCHAGUZI

Yaani Tanzania tunashindwa hata na Somaliland?
Wanajielewa sana
Wana mapungufu yao Ila hata Alshabab walikimbia huko
Kina mama wanauza dhahabu sokoni kama nyanya
Hela pia wanabadilisha sokoni hakuna wa kuwagusa
 
Kumbe ni kanchi Fulani kazuri tu?japo bado haitambuliki sana duniani
Maadam wamejitenga hawana shida na utambulisho.

Kuna amani sana huko kuliko Mogadishu
Wametengeneza na hela zao ingawa wanatumia pia $

Wako vizuri
 
Polepole kashafanya kazi yake.
Mimi naona amemaliza hadaiwi.
Kazi kwa vyama vya siasa na wananchi wote.
Wananchi najumlisha na wale ambao ukiwakumbusha uzalendo wasimamie usawa siyo chama flani inaonekana uhaini.
Kamaliza kweli kweli
 
Back
Top Bottom