Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 35,204
- 61,081
Wanajielewa sanaYaani Tanzania tunashindwa hata na Somaliland?
Kumbe ni kanchi Fulani kazuri tu?japo bado haitambuliki sana dunianiWanajielewa sana
Wana mapungufu yao Ila hata Alshabab walikimbia huko
Kina mama wanauza dhahabu sokoni kama nyanya
Hela pia wanabadilisha sokoni hakuna wa kuwagusa
Maadam wamejitenga hawana shida na utambulisho.Kumbe ni kanchi Fulani kazuri tu?japo bado haitambuliki sana duniani
Wananchi ndio wakuamua sasa waende kupiga kura ama la!Huu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
Utapeli wa nchi hii ni wa kiwango cha juu snHuu ndio uwe mjadala watu kuanzia leo, watu wenye nia njema na Tanganyika tujadili hili.
Kamaliza kweli kweliPolepole kashafanya kazi yake.
Mimi naona amemaliza hadaiwi.
Kazi kwa vyama vya siasa na wananchi wote.
Wananchi najumlisha na wale ambao ukiwakumbusha uzalendo wasimamie usawa siyo chama flani inaonekana uhaini.