Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

Hizi ni hisia tu, kamuua nani yako mpaka ushikwe na uchungu? Magu mwamba na nusuuu #MZALENDO
Na tuko na pole pole Mwa Mwi
 
Naunga mkono hoja,ila kama ni kweli wewe uko pamoja mama Niko pamoja na Samia kama mama alitoa sababu halisi ya chanzo cha kifo cha JPM,kitendo cha wewe kusema alikufa kwa covid,ni kwenda kinyume na mama!
Sandali Ali na Kiboko ya Jiwe,wanakusalimia!
P
 
Wewe Ndio Umechoka Habari Zake,
Sisi kwetu Ni Muhimu Ngoja Tupambane Tupate Pesa Ya Bando Maana nyinyi Muna Uhakika Wa Kuingiza Buku7 Ata Ukipost Ujinga
 
Amfuate au afungue kanisa kwa jina la Magu siyo kwa kumwabudu huko, km Rais anaweza kuuawa basi hakustahili kuwa Rais. Hilo lofa limechanganyikiwa
 
Typing 🌈
 
Wewe tulia uchanjwe chale za utosini.Wapo ambao hawajamchoka.
 
Polepole kama ngariba tu,ana tahiri kwa kisu Kikuyu.
Ni maumivu TU no ganzi.
Wenyewe wanakwambia lazima tuweke kumbukumbu sawa😄
 
Pale mpumbavu anapojiita ni smart kaa nae mbali

Yani Kati yako ww na polepole nani anamjua jiwe vizuri??

 
Mbona umechoka mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…