Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko.
Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho.
Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu.
Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu.
Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania yamtafute na kumuua.
Yaliua watu wake wa karibu kwanza na yalipomuua muhusika mkuu ambaye ni Magufuli Mungu akayaondoa mapepo ya COVID-19 Tanzania.
Apart from mihemko, huu ndio ukweli nilioupata kitini kwa Mungu.
Kama ninadanganya basi Mungu wa mbinguni anihukumu Mimi.
Ningeandika ya kwangu au ya kusadikika ningelijibu kila post kutetea Uzi wangu lakini sitafanya hivyo.
Wapo watakaouliza mbona fulani kafanya baya hili hajafa, wengine watasema je, kila anayekufa anaadhibiwa na Mungu.
Hayo jijibu wewe mwenyewe ila jua tu kila mtu atapata stahiki zake kwa wakati wake.