Msemaji wa Familia
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 875
- 839
Angalau hata kama wanampa Nafasi ya Kumsilikiliza , hata hilo linatosha kwa kuanzia. Elimu anayowapa na kuwafunua Macho, kuna kitu anawaongezea na hawatakuwa kama walivyokuwa. Baada ya hapo ndo wataanza kuchukua hatua, kwanza wafumbuliwe Macho na hicho Balozi HPP ndicho anakifanya, na tumpe moyo aendelee na hizo Jitihada zake. Asiogope vitisho vya VIJANA CHAWASwali zuri sana
Shida yetu watanzania kuogopa kuchukua maamuzi magumu