johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Piga simu yuko mubashara Channel ten!Pole pole...je wafanyakazi wanaokosa FAO LA KUJITOA NSSF
Ulitaka asemaje kwa mfano?Yaani kabla ya maamuzi ya kesi anasema ameonewa....!!!
Piga simu Channel ten muda huu!Atutetee na wafanyakazi tazara miaka 12 wamestaafu hawaalipwa.
Wangeanza na wale waliobomolewa makazi yao Kimara kwa idhini ya Mwenyekiti wao wa chama....Tatizo la Mataga wanafikiri kwamba watanzania wa sasa akii zao ni kama zile za kwao MATAGA za kufanya mambo kwa kukurupuka.Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake...
Bwashee umefuatilia kipindi lakini?!Wangeanza na wale waliobomolewa makazi yao Kimara kwa idhini ya Mwenyekiti wao wa chama....Tatizo la Mataga wanafikiri kwamba watanzania wa sasa akii zao ni kama zile za kwao MATAGA za kufanya mambo kwa kukurupuka...
Siwezi fuatilia kipindi katika Channel ambayo inafanya kazi kwa maelekezo ya chama (kulinda maovu yake) na sio kwa weredi. Mara ya mwisho kuangalia Channel Ten nadhani ilikuwa 2013...Ila nina uhakika jamaa atakuwa ameongea upuuzi.Bwashee umefuatilia kipindi lakini?!
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake.
Polepole amesema chama chake kimeshaongea na Jaji mkuu ili kuhakikisha kesi mbalimbali zitakazoibuliwa kupitia kipindi cha Utekelezwaji wa Ilani zinashughulikiwa kwa haraka.
Kipindi kinaendelea...
Chanzo: Channel ten
My take; Sasa CCM inashughulika na maendeleo ya watu.
Wanakufa na madai yao maskiniAtutetee na wafanyakazi tazara miaka 12 wamestaafu hawaalipwa.
Asingehukumu kwamba ameonewa, yeye angesema tu kwamba watamsaidia anayehitaji msaada wa kisheria na mahakama itatenda haki..FULL STOPUlitaka asemaje kwa mfano?
Huku mkia ukikaribia kugonga mdomoniHAKUNA MTU NAMCHUKIA NCHI HII KAMA POLEPOLE,MAMBO ANAYOYAFANYA NI KAMA MTU AMBAE HAJAPATA FAIDA YA ELIMU YAKE
Huwa namfananisha Polepole na mbwa anaebweka huku anarudi nyuma.
Yeye nani?Mbona yeye kadhulumu viwanja wale wananchi pale goba akaviliki peke yake zaidi ya hekari 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Membe huyu wa Chadema?Hii ni kampein kuelekea 2025
Naona Membe atapita bila kupingwa kabsaπ€π€πππ