Polepole: Tunashughulikia matatizo ya Wananchi wanyonge walioonewa na tunawapa mawakili wa kuwatetea Mahakamani

Polepole: Tunashughulikia matatizo ya Wananchi wanyonge walioonewa na tunawapa mawakili wa kuwatetea Mahakamani

Umeambiwa kesi za wananchi wanyonge.

Uwe unaelewa bwashee!
Si sahihi kwa namna yoyote ile kukubaliana na Jajii Mkuu kuhusu kesi ya aina yoyote ile, iache mahakama iendeshe kesi bila shinikizo.

Jaji Mkuu mstaafu aliwahi kulalamika kuhusu vimemo ambavyo majaji hupewa kuhusu kesi toka kwa viongozi.

Hii dhana ya kesi za wanyonge na wasio wanyonge ndani ya mahakama wewe umeipata wapi!
 
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake.

Polepole amesema chama chake kimeshaongea na Jaji mkuu ili kuhakikisha kesi mbalimbali zitakazoibuliwa kupitia kipindi cha Utekelezwaji wa Ilani zinashughulikiwa kwa haraka.

Kipindi kinaendelea...

Chanzo: Channel ten

My take; Sasa CCM inashughulika na maendeleo ya watu.
Anaongea na Jaji Mkuu akiwa katika wadhifa gani?
Jaji mkuu peleka ki memo cha kuonya na kama unaona vipi jiuzulu,judiciary imekuwa compromised mno!!
 
Kumwambia CJ mashauri yaishe haraka ni kuingilia maamuzi yake? Tumia akili kabla ya kulalama.
Nani asiyetumia akili, mahakama inasikiliza ushahidi wa pande mbili, polisi wanawajibika kukamilisha ushahidi kabla ya kuipeleka kesi mahakamani, kama kila siku ushahidi haujakamilika! Lakini si jukumu la chama cha siasa kumtaka CJ aimalize kesi haraka na ni chama kimoja tu ndiyo ruksa! Haikubaliki.
 
Sio kosa lako.
 
Teh teh Chakubanga anatoa maelekezo Kwa jaji mkuu
Wonders will never cease 😫
 
Teh teh Chakubanga anatoa maelekezo Kwa jaji mkuu
Wonders will never cease 😫
 
Sio kosa lako.
Hebu fuatilia Waganda wanavyolaumu Museveni kuingilia mahakama baada ya kusema ataongea na Jaji Mkuu kuhusu kesi, naona wewe ni mkatiri usiyependa utawala wa sheria, chini ya utawala wa sheria Polepole apeleke hoja yake bungeni na si kuongea na Jaji Mkuu.
"Sio kosa lako" si hoja.
 
Back
Top Bottom