Polepole: Tunashughulikia matatizo ya Wananchi wanyonge walioonewa na tunawapa mawakili wa kuwatetea Mahakamani

Hivi nani amesababisha hayo matatizo ndani ya awamu ya tano?
 
Kwani sisi hatuna macho tindo? Mbona hatujaona wizi?

Chadema mmejazana mabaradhuli wapiga dili mlikura ruzuku na michango ya watanzania.

Ww utaonaje na ni mfaidika wa huo wizi? Hakuna chama kimekula hela za michango ya watanzania kama ccm. Labda ndio umeingia kwenye siasa sasa, hivyo unatumia propaganda za ccm kujenga hoja zako.
 
Wewe kamanda wa Cdm mimi nanufaika na wizi,mimi mwizi?Unanivunjia heshima unajua.
Lini Ccm wamekula michango ya wabunge wao au ruzuku? Kuna propaganda juu ya Mbowe kutafuna bil 8?
 
Kuwa mwizi na kunufaika na wizi, labda tindo anakuonea tu, labda la ukichwa panzi, na mapenzi upofu, hoja za kijinga, angekua amekutendea haki!
 
Nasema hivi, ww ni mnufaika wa wizi wa ccm. Ccm sio kula michango ya wabunge tu, hakuna mtanzania ambaye hajaliwa chake na ccm, aidha kwa kupenda au kwa shuruti. Nakuvunjia heshima, una heshima gani ww muhuni?
 
Wewe kamanda wa Cdm mimi nanufaika na wizi,mimi mwizi?Unanivunjia heshima unajua.
Lini Ccm wamekula michango ya wabunge wao au ruzuku? Kuna propaganda juu ya Mbowe kutafuna bil 8?
Kuwa mwizi na kunufaika na wizi, labda tindo anakuonea tu, labda la ukichwa panzi, na mapenzi upofu, hoja za kijinga, angekua amekutendea haki!
 
Huyu otu popleposle kama mbwa. Haya makesi ya uonevu nani kayaleta kama siyo CCM?
 
Waanze na wale waliochapwa viboko hadharani Arusha!!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake...
Kuna wafanyabiashara wanafungiwa biashara na kufungiwa Account na TRA kwa njia haramu za kishetani Mbona hamuwasaidii
 
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake...
Aaaah, hivyo hilo jamaa linatoka pori gani?

Linakera!!!
 
Kuna watu watakuwa phased out mzee baba akichomoka hawataaminika tena na watakaa nje ya uliongo for sometimes, Wanachanga karata zao ovyo sana
 
Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake...
Polepole kumbe CCM huwa mnazungumza na Jaji Mkuu kuhusu kesi! Nimeelewa sasa kwanini wapinzani husota mahakamani.
 
Back
Top Bottom