Polepole: Tunashughulikia matatizo ya Wananchi wanyonge walioonewa na tunawapa mawakili wa kuwatetea Mahakamani

Hili ni jambo jema, Ccm ni chama kinachowawajali wanyonge.
Cc tindo
 
Huu ndio mfumo wa kutatua matatizo ya watu milioni 60 ???

MaCCM mna Mavi vichwani, aliyewaroga KAFA.
 
 
Hahahaaaa........ Mbona siku nyingi tu bwashee.

Pale ACT wazalendo alikuwa anazuga tu!
Hahaha hata huko cdm sina imani kama atadumu..membe ni mali yetu sawa na zitto,mbowe,Seif, nk nk nkπŸ˜‚πŸ˜‚

But nakumbuka alisema mwezi wa 1 2021 ndo atatoa tamko??πŸ€”
 

Mwambie amuulize mwenzake aliyepewa wote ubunge, vipi atumie hati za kughushi kupora kiwanja cha watoto yatima Kurasini ??
Tena huyo mama hafai kupewa huo ubunge.... kavunja nyumba za watoto na bado analeta umwamba !!
Anza na huyo kwanza... akapumzike segerea

 
Kuita watu wanyonge ni kosa hakuna aiiyeumbwa mnyonge, unyonge unaIetwa na serikaIi zetu. Huwezi kusema unaongoza nchi ya wanyonge.........nani kawanyonga hao wananchi. Siyo sifa nzuri kudai tunaongoza serikaIi ya wanyonge.
 
Mwenzake nani?
 
Wambie walipe na madeni ya watumishi wa umma,kama kweli wanashughurika na maendeleo ya watu,waache uporaji wa stahiki za zatu, huwezi limbikiza madeni ya watumishi tokea 2013 mpaka sasa na bado wanakufanyia kazi,huku mkiwatishia na vitisho vya kila aina,waache dhuruma,waache kuwatesa watumishi!
 
Tumeona kwa macho yetu wizi huo na umwagaji damu. Ccm ni chama cha watu, kwani vyama vingine ni vya wanyama?
Kwani sisi hatuna macho tindo? Mbona hatujaona wizi?

Chadema mmejazana mabaradhuli wapiga dili mlikura ruzuku na michango ya watanzania.
 
HAKUNA MTU NAMCHUKIA NCHI HII KAMA POLEPOLE,MAMBO ANAYOYAFANYA NI KAMA MTU AMBAE HAJAPATA FAIDA YA ELIMU YAKE

Huwa namfananisha Polepole na mbwa anaebweka huku anarudi nyuma.
Chuki yako inamsaidia nn kukosa kwako fursa kusikufanye uchukie watu bila sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…