Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Si sahihi kwa namna yoyote ile kukubaliana na Jajii Mkuu kuhusu kesi ya aina yoyote ile, iache mahakama iendeshe kesi bila shinikizo.Umeambiwa kesi za wananchi wanyonge.
Uwe unaelewa bwashee!
Iko kwenye mchakato!Bima ya afya bure kwa kila mtu itaanza lini...
Kumwambia CJ mashauri yaishe haraka ni kuingilia maamuzi yake? Tumia akili kabla ya kulalama.Si sahihi kwa namna yoyote ile kukubaliana na Jajii Mkuu kuhusu kesi ya aina yoyote ile, iache mahakama iendeshe kesi bila shinikizo....
Bavicha wana uelewa finyu sana mkuu!Kumwambia CJ mashauri yaishe haraka ni kuingilia maamuzi yake? Tumia akili kabla ya kulalama.
Sina muda wakuongea na chakubangaPiga simu Channel ten muda huu!
Wewe na bia yetu, kipara kipya na hata johnbaptist, hakuna ushaidi unaotakiwa, mnajianikaga wenyewe tu!Kamanda uchwara,unao ushahidi juu ya hizi tuhuma zako?
Anaongea na Jaji Mkuu akiwa katika wadhifa gani?Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake.
Polepole amesema chama chake kimeshaongea na Jaji mkuu ili kuhakikisha kesi mbalimbali zitakazoibuliwa kupitia kipindi cha Utekelezwaji wa Ilani zinashughulikiwa kwa haraka.
Kipindi kinaendelea...
Chanzo: Channel ten
My take; Sasa CCM inashughulika na maendeleo ya watu.
Nani asiyetumia akili, mahakama inasikiliza ushahidi wa pande mbili, polisi wanawajibika kukamilisha ushahidi kabla ya kuipeleka kesi mahakamani, kama kila siku ushahidi haujakamilika! Lakini si jukumu la chama cha siasa kumtaka CJ aimalize kesi haraka na ni chama kimoja tu ndiyo ruksa! Haikubaliki.Kumwambia CJ mashauri yaishe haraka ni kuingilia maamuzi yake? Tumia akili kabla ya kulalama.
Sio kosa lako.Nani asiyetumia akili, mahakama inasikiliza ushahidi wa pande mbili, polisi wanawajibika kukamilisha ushahidi kabla ya kuipeleka kesi mahakamani, kama kila siku ushahidi haujakamilika! Lakini si jukumu la chama cha siasa kumtaka CJ aimalize kesi haraka na ni chama kimoja tu ndiyo ruksa! Haikubaliki.
Tumia common sense.Tumshukuru Melo, ameanzisha sehemu ambayo ‘Nyani asiye ona kundule’ ana uwezo wa kuwa cheka watu! Mahali ambapo ‘matahaira’ wanajiona ma-genius!
Wewe unatumia sense yoyote iwe common au uncommon?Tumia common sense.
Hebu fuatilia Waganda wanavyolaumu Museveni kuingilia mahakama baada ya kusema ataongea na Jaji Mkuu kuhusu kesi, naona wewe ni mkatiri usiyependa utawala wa sheria, chini ya utawala wa sheria Polepole apeleke hoja yake bungeni na si kuongea na Jaji Mkuu.Sio kosa lako.