GE2025 Polepole: Viongozi wa kidini mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho?

GE2025 Polepole: Viongozi wa kidini mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Viongozi wa kijamii, viongozi wa kidini, dini zote. Wazee wetu kama wapo mnakubalije kwenda kwenye uchaguzi mnaojua ni kiini macho? Kwa mfano viongozi wa kidini au na nyie ni sehemu ya ukiini macho huu.

Hivi mnapokwenda sirini kumuomba Mungu, mnaamini kuna uchaguzi?

Mnaamini ACT ni chama cha upinzani? mnaamini CHAUMMA ni chama cha upinzani? mnaamini kuna uchaguzi? kwanini mnasema tumuombe Mungu kwenye uchaguzi, uchaguzi gani?
- Humphrey Polepole
 
Back
Top Bottom