Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudadeki watazinywa we subiriWale madalali wa chanjo hawawezi kuelewa hii. Watafura kama vifutu.
Chanjo ya beberu iko njiani, na wao walishapokea mapesa ya udalali.
Ukiwaeleza habari za mimea-tiba ama tiba-asili wanafyumu na kusonya kwa ghadhabu.
Madalali wa corona hawa. Hawatusumbui.
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?
Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!
Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.
Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii
Pole kwakufiwa lakini ebu sema huko kwingine hawakufa? Mbona sisi hali yetu ni afadhli kuliko wao?Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tanzania tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Hata wewe utakufa tu
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?
Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!
Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.
Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii
Huna akili ,kuwafungia watu ndani kunadhoofisha kinga zao za mwili kuliko yule anayechapa kaziHivi unapambana vipi na corona kwa kuchapa kazi kwa bidii? Anaweza kutupa data za watu waliochapa kazi kwa bidii huo mwaka jana wakati tunapambana na corona? Siasa za kishenzi anatuletea za mwendazake.
Elimu ni ufunguo wa maisha. Nitapata chanjo inshallah with or without everybody.Pata chanjo mkuu umkomoe JPM
Hivi Polepole anatuonaje?
Atuambie kwanza Ile dawa ya Madagascar uliishia wapi? Maana Madagascar sasa hivi wapo busy na chanjo waliachana na miti shamba.Hivi Polepole anatuonaje?
Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tanzania tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Katibu mwenezi msitaafu wa CCM na mbunge wa kuteuliwa wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bwana Humphrey Polepole amehoji ni kwa nini watanzania wanataka kuacha mbinu za asili zilizotusaidia mwaka jana kupambana na corona na tukaibuka na mafanikio makubwa kiuchumi na kijamii?
Bwana Polepole ametolea mfano wa nchi zote zilizojaribu kupambana na Corona kwa kufuata mfumo wa kimagharibi mwishoni wa mwaka 2020 ziliishia kupata ukuaji hasi wa uchumi kwenye nchi zao!
Polepole amesema ni Tanzania tu ndiyo iliyopata ukuaji wa uchumi chanya kwenye nchi zote za Afrika mashariki. Sasa kwa nini sisi watanzania tunaona aibu kujivunia hizo mbinu za asili? Amehoji mh Polepole.
Mwaka jana tulipambana na Corona kwa kutumia njia tatu.
1. Kumtanguliza Mungu mbele
2. Kufuata mbinu mbalimbali tunazoshauliwa na watalaamu wetu
3.Kuchapa kazi kwa bidii
Huna akiliWataalamu waliosemea wameshatoa mwongozo sisi tuna wasikiliza chakubanga[emoji23]. Kufunga au kutokufunga nchi ina uhusiano gani na matibabu[emoji23]. Nani kasema nchi ifungwe! .
Wengi walifunga wakati ule mwaka jana ili watoe muda wa kuusoma ugojwa. Tujue tu tumepoteza wengi sana hata viongozi wake.