#COVID19 Polepole: Watanzania tuendeleeni kutumia njia za asili kupambana na Corona

Hiyo ndokazi yakua viti maalum(asante),huyu angekua alipambana majukwani kuomba kura sidhan kama angeongea upumbavu huo.jingine nasikia ni PhD holder.kweli?
 
Mwambie aache fkra za mwendazake ambaye amechapwa na korona
 
Waliokufa Kwa Corona waliotumia hizi mbinu za Kienyeji tunasemaje. Dada yangu alijufukiza, akala Nimcaf yet she died from Corona. RIP my sister. Hapa Tanzania tuseme tuu kuna Nguvu ya Mungu tusioielewa.
Pole kwakufiwa lakini ebu sema huko kwingine hawakufa? Mbona sisi hali yetu ni afadhli kuliko wao?
 
Impliedly anampingaRais, imekula kwake. Hawa watu mzimu unawatesa sana, kwa nini wasiangalie upepo?
 
Hivi unapambana vipi na corona kwa kuchapa kazi kwa bidii? Anaweza kutupa data za watu waliochapa kazi kwa bidii huo mwaka jana wakati tunapambana na corona? Siasa za kishenzi anatuletea za mwendazake.
 
Hivi unapambana vipi na corona kwa kuchapa kazi kwa bidii? Anaweza kutupa data za watu waliochapa kazi kwa bidii huo mwaka jana wakati tunapambana na corona? Siasa za kishenzi anatuletea za mwendazake.
Huna akili ,kuwafungia watu ndani kunadhoofisha kinga zao za mwili kuliko yule anayechapa kazi
 
Pata chanjo mkuu umkomoe JPM
Elimu ni ufunguo wa maisha. Nitapata chanjo inshallah with or without everybody.

Wanisoma jombi.

Ila wewe acha kupata chanjo ili utukomoe sisi tunaoitaka.

Hapo vipi? Salama?
 
Haka kajinga si ndo kalitangaza ushindi dhidi ya corona. hovyo kabisa.
 

Wataalamu waliosemea wameshatoa mwongozo sisi tuna wasikiliza chakubanga😂. Kufunga au kutokufunga nchi ina uhusiano gani na matibabu😂. Nani kasema nchi ifungwe! .
Wengi walifunga wakati ule mwaka jana ili watoe muda wa kuusoma ugojwa. Tujue tu tumepoteza wengi sana hata viongozi wake.
 
Huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…