GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pole pole realistically hakupaswa kusikilizwa maana na yeye huu UHUNI anaosema ni muasisi. Tabia za kishamba hizi hakuziona kipindi yupo top 3.
Lakini Kwa sababu ya Maisha ya watu na wakati ni lazima asikilizwe Kwa sababu anaongea kinachowahusu watu.
 
"First they came for the Socialists, and I did not speak out—
Because I was not a Socialist.
Then they came for the Trade Unionists, and I did not speak out—
Because I was not a Trade Unionist.
Then they came for the Jews, and I did not speak out—
Because I was not a Jew.
Then they came for me—and there was no one left to speak for me.
 
Ngoja Tusubiri tuone hii movie 🎥 !
Yetu macho na masikio !
Lakini naamini Polepole hawezi kuwepo hapa Nchini !
Huyo huenda atafanya hiyo Press yake Online from Ughaibuni 😳 !
 
Si ndio yeye wakat wa magu muanzilishi alikuwa happy na kujibu ovyo leo vip? Akitekwa mama yako ndio utajua
Kila jambo na wakati wake.
Hakuna aliyezaliwa mwema kabisa bila doa au m-baya kabisa bila jema lolote.

Ili siku ikamilike kuna masaa ya mwanga na ya giza pia.
Hivyo relax....mfuatilie Polepole saa tano.
 
Haya mambo yanakuja kugusa hata wasiohusuka, dada wa watu kakosa nini?
Itoshe tu kusema polepole hayuko salama.
 
Hivi jana bi kizimkazi hakusema mapolepole tuyaweke kando??
 
Kweli power inakuja na Kuondoka, Leo Polepole amekuwa mtu wa Kulia Lia Mitandaoni? Hahaha Huyu jamaa alifika mahali pajuu sana kwenye maamuzi ya ili Taifa he was untouchable kabisa
Ahhhh jaman, heb achen kukuza vitu vingine kuliko uhalisia. Kweli katibu mwenez ni mtu wa kumuita untouchable nae?? Mwenez wa chama?????
Aaah hamna bwana, he never has been powerful to levels!!!
 
Km ni muigizaji nini kinakuwasha kupanua mdomo..uigizaji haufiki popote nyamaza angalia utakapoishia.
Huyu achana naye.
Comments zake tu zinaakisi ufinyu wa elewa wake.
Hawa ni wale wa "Kujua kusoma na kuandika".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…