Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Ninyi mbwa wa CCM na Samia wenu na kitambi chake, kichwa cha mviringo, acheni kuwaonea watu wasio na hatia. Yaani mtu akijiuzulu lazima muiumize family yake? Punda nyie, pumbavu kabisa.
Mkuu habari za sikuWewe ni CCM hakuna kitu kitatokea maana ni familia ile ile tu...
Wanaitwa watu wasio juilikanaWatu gani hao walioruka ukuta wa nyumba ya dada yake?
Unataka kusema nini bro yaan hiki ndicho ulichojifunza Malawi na Cuba? What is this bro? Unalialia nini? Unataka kusema nini? Kwanini usiseme na kukubariana na risk zote? Kwanini unasitasita? Nini unataka kutuambia kabla hujakata roho bro? Na kwanini unaogopa kuongea? Unalazimishwa utubu na wewe hutaki kutubu? Sema kila kitu basi maana watanzania ukiwaambia ujinga wanakugeuka wanakuona km ndezi tu, wewe njoo hio saa 5 halafu ongea ujinga utaona unavyogeuziwa kibao na hawahawa watanzania unaotaka kuongea nao watakuona bonge la fala, trust me"Na watu wengine ambao sio jamaa zangu [walionekana]. Kwa sababu dada yangu anakaa peke yake, wanafungua geti la nyumbani wanaingia wanatoka, baada ya muda tena wanarudi. Mimi nilitaka kusema, mimi sikai kwa dada yangu, na kama kuna mtu ananitafuta mimi, namba zangu zinapatikana," alifafanua zaidi Polepole ambaye amesema ataongea na Umma leo saa tano.
Polepole hakuona ubaya wa ubaguzi akauendeleza wakiwa na Magufuli leo ubaguzi umewageukia,wanadhani Mwl.Nyerere alikuwa anaongea ujinga,na alisema wakiisha kuitenda dhambi ya ubaguzi iwatafune kwelikweli naona sasa kazi imeanza rasmi.Naona sasa Polepole anaanza kunyweshwa muarobaini alioshiriki kuukoroga enzi hizo akiwa na mshikaji wake Magufuli.
What goes around comes right back around... wahenga walisema.
Kama kweli Polepole uko nchini si uende Polisi ukaropoti tukio?
View attachment 3409562
Walifikiri wakiwala wapinzani watakuwa meshiba Sasa njaa imewaka wameanza kukamatana na kulana,sisi tutawaletea pili pili ,kachumbali na chumvi tu kuwaongezea lazaNaona sasa Polepole anaanza kunyweshwa muarobaini alioshiriki kuukoroga enzi hizo akiwa na mshikaji wake Magufuli.
What goes around comes right back around... wahenga walisema.
Kama kweli Polepole uko nchini si uende Polisi ukaropoti tukio?
View attachment 3409562
Kwan WANAOTEKA ni watu gani??Watu gani hao walioruka ukuta wa nyumba ya dada yake?
Mpuuzi Mmoja weePolepole aache uzushi.
Watekaji wauaji huwa unaletewa taarifa na nani?Hivi una kitu chochote cha kukufanya utoe kauli kama hiyo, au ni ule uropokaji wa mapunguani wa akili.
Kama ungekuwa na akili japo kidogo, ungeweka taarifa ya kweli uliyo nayo wewe ili kuthibitisha yaliyosemwa na Poepole ni uzushi.
Kama ni wewe uliyeruka ukuta, na sababu ya kuruka huo ukuta siyo hiyo aliyoisema Polepole, utuambie.
Kama polepole ana sura mbaya hivyo, dada yake ni kama dume, havutiiWakuu!
Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."
Andiko lake limekuja masaa kadhaa kuelekea mkutano wake na Vyombo vya Habari baada ya kutangaza kusogeza mbele kutoka Julai 17 hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi.
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
==
Updates
"Kwenye saa tano usiku dada yetu, dada yangu mkubwa alimpigia simu mama yangu akamwambia kuna watu wameruka ukuta wameingia nyumbani kwake anaishi huko Bahari Beach. Na wakasogea mpaka kwenye nyumba wakamuambia wamefuata taarifa," ameeleza Polepole kwenye video aliyoiachia kwenye ukurasa wake wa Instagram.
"Toka wakati huo saa tano, dada yangu simu yake haipokelewi. Tumejaribu kwenda pale nyumbani, watu wameona kuna magari, kuna Landcruiser, kuna Noah ambazo zilikua maeneo ya nyumbani mpaka muda huo wa saa tano na baadae," aliongeza zaidi.
"Na watu wengine ambao sio jamaa zangu [walionekana]. Kwa sababu dada yangu anakaa peke yake, wanafungua geti la nyumbani wanaingia wanatoka, baada ya muda tena wanarudi. Mimi nilitaka kusema, mimi sikai kwa dada yangu, na kama kuna mtu ananitafuta mimi, namba zangu zinapatikana," alifafanua zaidi Polepole ambaye amesema ataongea na Umma leo saa tano.
Soma zaidi
Polepole katika awamu ya ya JPM alishiriki na kujua kwamba kiongozi wake alikuwa anateka watu alafu akakaa kimya?So unafurahia anachopitia ?
Kama mama yenu!Kaanza kutafuta kiki huyu jamaa!!
Mkuu unajua Sana kujiliwaza, flight or fight...Kuna vilaza wanamtumainia huyu muigizaji....