4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Mambo ya VPNCUBA ALIENDA KUJIFUNZA KITU....haiwezekani location isome upo wapi alafu usipatikane na hawa tiss
Mambo ya VPNCUBA ALIENDA KUJIFUNZA KITU....haiwezekani location isome upo wapi alafu usipatikane na hawa tiss
Unaongelea nyumbu kumbe hujijui kuwa wewe binafsi ni nyumbu mkubwa zaidi hata Mbugani nyumbu ni wengi kama nyinyi ibirisi wa ccm mlivyozubaa hadi mtu mmoja kujiteua kugombea Urais kienyeji pasipo nyumbu nyie kuhoji, Lisu anateswa na polepole kaanza kuwindwa wote wana wakati mgumu lazima mifano iendane , kwa kifupi acheni mbinu zenu za kishamba huu ni mwaka wa uchaguzi wa maigizo mtawakosa hata wa kuigiza naoTunamzungumzia Polepole; hiyo habari ya lisu inatokea wapi tena? Hivi nyie nyumbu huwa mnatumia nini kufikiri?
HaiwezekaniUkichimba kaburi lazima uingie mwenyewe. Jichunguze kwanza unaweza jikuta wewe ndiye mpumbavu pamoja na kujiita DR HAYA LAND . Pengine Dr wa mchongo kama Dr Remmy
sawa, umemsikia moleliImenilazimu kupanda mlimani kutafuta msaada kwa Mungu wa mbinguni ili Watanzania tujue nini kinaendelea
Mzidi kuniombea ili nisichoke katika maombi
Ahsanteni sana 🙏🇹🇿
Amos makala aliongea ujinga kuwa chadema wataleta virus mbona watanzania hawakumfanya lolote?Unataka kusema nini bro yaan hiki ndicho ulichojifunza Malawi na Cuba? What is this bro? Unalialia nini? Unataka kusema nini? Kwanini usiseme na kukubariana na risk zote? Kwanini unasitasita? Nini unataka kutuambia kabla hujakata roho bro? Na kwanini unaogopa kuongea? Unalazimishwa utubu na wewe hutaki kutubu? Sema kila kitu basi maana watanzania ukiwaambia ujinga wanakugeuka wanakuona km ndezi tu, wewe njoo hio saa 5 halafu ongea ujinga utaona unavyogeuziwa kibao na hawahawa watanzania unaotaka kuongea nao watakuona bonge la fala, trust me
Umeelewa nilichosema nimesema hakuna kipya utakachoambiwa, wewe hapo bichwa lako na ubongo wako umeu-set kusikia kipya kutoka kwake ila hakuna kipya atakachokwambia zaidi ya yaleyale tu kimeenda kimerudi kimepita hivi kikapita vile basi press imeisha nothing else tatizo nyinyi hamuelewi it's just like drama, unafikiri utaambiwa nini kingine?Amos makala aliongea ujinga kuwa chadema wataleta virus mbona watanzania hawakumfanya lolote?
Tokea uolewe na Salum mwalimu akakulisha ubwabwa haramu umejitoa fahamu na kutumia matusi ya kizamani ya watu wenye uelewa zeroHao ni ******* tu.
Lissu 2018 alikuwa Nairobi hospital, hoi.. My be one year back.Tundu Lisu 2018: Mkitumaliza Sisi mtaanza kulana Wenyewe kwa wenyewe 🐼
Yaleyale yakiwa ni utekaji mauaji kubambikia watu kesi kufunga makanisa hata yakirudiwa mara 200 na watu tofauti watu bado watu wanataka yakomeshwe uonevu manyanyaso kwa wakosoaji wote umalizwe hakuna mpenda haki anaipenda Serikali ya ibirisi wa ccm kwa sasaUmeelewa nilichosema nimesema hakuna kipya utakachoambiwa, wewe hapo bichwa lako na ubongo wako umeu-set kusikia kipya kutoka kwake ila hakuna kipya atakachokwambia zaidi ya yaleyale tu kimeenda kimerudi kimepita hivi kikapita vile basi press imeisha nothing else tatizo nyinyi hamuelewi it's just like drama, unafikiri utaambiwa nini kingine?
Kwani ubalozi sio ulaji ? Au sio nafasi nzito ?angeaachwa kwenye asali wala msingemsikia leo
Tusubiri hapo sasa tano Mkuu...Kuna vilaza wanamtumainia huyu muigizaji....
Wameenda kujichoresha sura zao kwa dada yake slow slow.Anawachanganya, maana Wauaji ni Mabwege sana!
Kupanga ni kuchagua mkuu. Tumia ulichopanga kwenda nacho. Kitabu au bunduki vyote ni vitendea kazi. Lakini apandacho mtu ndicho atakachovuna.Mbwa akikuzoea sana atakufuata mpaka msikitini.
Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Serikali haicheki na nyani
Kulea uovu kukumbatia vitendo haramu vya kishetani ni kuendekeza upumbavu usiokwisha ili Tanganyika iwe huru lazima wachache wajitoe mhanga kuwakomboa wengi hata kama utawatesa utawaua utawateka utawabambia kesi ipo siku watakombolewa, hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu kubwaNdugu zake Polepole wanao wajibu wa kumwambia kijana wao ukweli; Ni vigumu sana kwa mtu mmmoja kupiga na Serikali ukashinda. Juzi tu hapa Bishop Gwajima alijaribu ameishia kupoteza makanisa 2000. Spika Ndugai alijaribu, akaishia kujidharirisha kwa kuomba radhi. Sasa yeye Polepole ndio ataweza? Katika Injili ya Luka 23:31 twasoma "Kwa kuwa kama wakitenda mambo haya katika mti mbichi, itakuwaje katika mkavu?"
Fala wewe, chawa mkubwa wewe.Na wewe weka sura yako hapa tuone sura na umbo lako!! Ukute una sura kama panya buku halafu unafanyie watu wengine body shaming