GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

GE2025 Polepole: Watu wameruka Nyumbani kwa Dada yangu Bahari Beach, wadai wamefuata taarifa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Polepole aache kututisha
Leo ndiyo anajua madhara ya mtu kuvamiwa na kutekwa?
Tuachane nae huyu ni mnafiki tu anayehamisha magoli ya kudai haki.
Kama dadke katekwa yy si anawajua watekaji huyu
Ngoja tumsikilize kwanza
 
Watu wenye uchu wa madaraka kama Majizi ya Ccm na Nyumbu wa Chadema ni watu hatari sana ila mmoja hajashika tu madaraka
 
Unaifahamu Kuba wewe in Polepole's voice🤣🤣🤣
Kamwe nchi ya Cuba haiwezi kuizidi nchi ya Urusi kwenye suala hili la kuwafanyia udhalimu wale Watu wanaotofautiana kwa mawazo au fikra na Watawala wa nchi zao. Urusi ndio nchi inayoongoza hapa duniani kwa Utawala wake kuwawekea sumu wakosiaji wa Utawala.
Nchini Urusi kukosoa Watawala ni sawa sawa na kujikatia tiketi ya kifo, na nchi hiyo ina historia ndefu Sana kuhusiana na masuala haya tangu enzi za Watawala wadhalimu wa Urusi ya zamani (USSR) chini ya Idara ya Ujasusi ya KGB na mpaka Sasa chini ya FSB.
Nchini Urusi kila siku Watu wakosoaji wa Watawala wamekuwa wakifanyiwa udhalimu wa aina mbalimbali Kama vile kuwekewa sumu, kutekwa, kushambuliwa kwa silaha nzito nzito za kivita, n.k, n.k.
Lakini mashambulizi ya kuwekewa sumu (yaani Poisoning) ndio yanaaongoza, huwezi ukailinganisha na Cuba au nchi nyingine yoyote ile hapa duniani.
 
akina tlaatlaah na chiembe hawajamf¥ra kweli!?
Wakuu!

Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."

"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."

Andiko lake limekuja masaa kadhaa kuelekea mkutano wake na Vyombo vya Habari baada ya kutangaza kusogeza mbele kutoka Julai 17 hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi.


Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.

==
Updates

"Kwenye saa tano usiku dada yetu, dada yangu mkubwa alimpigia simu mama yangu akamwambia kuna watu wameruka ukuta wameingia nyumbani kwake anaishi huko Bahari Beach. Na wakasogea mpaka kwenye nyumba wakamuambia wamefuata taarifa," ameeleza Polepole kwenye video aliyoiachia kwenye ukurasa wake wa Instagram.

"Toka wakati huo saa tano, dada yangu simu yake haipokelewi. Tumejaribu kwenda pale nyumbani, watu wameona kuna magari, kuna Landcruiser, kuna Noah ambazo zilikua maeneo ya nyumbani mpaka muda huo wa saa tano na baadae," aliongeza zaidi.

"Na watu wengine ambao sio jamaa zangu [walionekana]. Kwa sababu dada yangu anakaa peke yake, wanafungua geti la nyumbani wanaingia wanatoka, baada ya muda tena wanarudi. Mimi nilitaka kusema, mimi sikai kwa dada yangu, na kama kuna mtu ananitafuta mimi, namba zangu zinapatikana," alifafanua zaidi Polepole ambaye amesema ataongea na Umma leo saa tano.

Soma zaidi
 
Dunia nzima imeshangaa kuna Mwafrika huko katema ubalozi
Dunia gani hio?
Kuna nchi hata hawajui kuwa Tnazania ni nchi!
Aliutema huyu tena wa UK, na bado Queen wa UK alikuja kutembea bongo.....
Hivi mnatokea mapori ya wapi ?

1752843760200.png
 
Hifadhi za kisiasa na ukimbizi wa kijinsia ni vitu rahisi zaidi kupata
Labda awe kweli ni mkimbizi wa kijinsia, nakumbuka alikutwa na vaseline...
Kwenye ukimbizi wa kisiasa, naona hujui kitu kabisa
Hata huyo Lissu mpaka leo hana hadhi na hajapewa ukimbizi huko Belgiji,
 
Vituko wanavyofanya hawa chawa wa mama ni kama vichaa wa MILEMBE KABISA KABISA!
Sasa dada wa Polepole anahusika kivipi?!
Inashangaza na kusikitisha kabisa kabisa
 
Unaongelea nyumbu kumbe hujijui kuwa wewe binafsi ni nyumbu mkubwa zaidi hata Mbugani nyumbu ni wengi kama nyinyi ibirisi wa ccm mlivyozubaa
Kwa taarifa yako, wa ccm wanaitwa chawa. Nyumbu ni nyie wa chama kile kingine msioshirikisha bongo zenu kwenye kufikiri. Sisi tusiokuwa na vyama hatumo kwenye hayo makundi.
 
Wakuu!

Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."

"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."

Andiko lake limekuja masaa kadhaa kuelekea mkutano wake na Vyombo vya Habari baada ya kutangaza kusogeza mbele kutoka Julai 17 hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi.


Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.

==
Updates

"Kwenye saa tano usiku dada yetu, dada yangu mkubwa alimpigia simu mama yangu akamwambia kuna watu wameruka ukuta wameingia nyumbani kwake anaishi huko Bahari Beach. Na wakasogea mpaka kwenye nyumba wakamuambia wamefuata taarifa," ameeleza Polepole kwenye video aliyoiachia kwenye ukurasa wake wa Instagram.

"Toka wakati huo saa tano, dada yangu simu yake haipokelewi. Tumejaribu kwenda pale nyumbani, watu wameona kuna magari, kuna Landcruiser, kuna Noah ambazo zilikua maeneo ya nyumbani mpaka muda huo wa saa tano na baadae," aliongeza zaidi.

"Na watu wengine ambao sio jamaa zangu [walionekana]. Kwa sababu dada yangu anakaa peke yake, wanafungua geti la nyumbani wanaingia wanatoka, baada ya muda tena wanarudi. Mimi nilitaka kusema, mimi sikai kwa dada yangu, na kama kuna mtu ananitafuta mimi, namba zangu zinapatikana," alifafanua zaidi Polepole ambaye amesema ataongea na Umma leo saa tano.

Soma zaidi
Aangalie Malinda ya dada yake Kisha aje atupe jibu usikute ndo wale wale kote anavaa pumpers
 
Labda awe kweli ni mkimbizi wa kijinsia, nakumbuka alikutwa na vaseline...
Kwenye ukimbizi wa kisiasa, naona hujui kitu kabisa
Hata huyo Lissu mpaka leo hana hadhi na hajapewa ukimbizi huko Belgiji,
Ok
 
Back
Top Bottom