Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,270
- 111,361
Mkuu habari za siku
Upo?
Nipo kamanda habari za miaka mingi...
Mkuu habari za siku
Upo?
Nasikitika sana maana baada ya taarifa kuvuja uwezi amini WINGA YA KULIA INAJADILI ALIE WATUMA NI NANI? WINGA YA KUSHOTO INAJADILI JE LIRE TUKIO MMEFANIKIWA?Mzee Horrace. walim Kolimba. Alikua katibu Mkuu wa Chama.
asema atafanyakwa hiyo Press itakuwepo, au ndo tusubiri hadi hapo tutakapotangaziwa tena?
kwa nini Polepole naye asifanye tu Press ya kushitukiza kama ambavyo Askofu Gwajima huwa anafanya?
Mzee Horrace. walim Kolimba. Alikua katibu Mkuu wa Chama.
Tupo kamanda tunasongeshaNipo kamanda habari za miaka mingi...
Mambo yamepamba moto, tumefika pazuri.Wakuu!
Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."
Andiko lake limekuja masaa kadhaa kuelekea mkutano wake na Vyombo vya Habari baada ya kutangaza kusogeza mbele kutoka Julai 17 hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi.
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
==
Updates
"Kwenye saa tano usiku dada yetu, dada yangu mkubwa alimpigia simu mama yangu akamwambia kuna watu wameruka ukuta wameingia nyumbani kwake anaishi huko Bahari Beach. Na wakasogea mpaka kwenye nyumba wakamuambia wamefuata taarifa," ameeleza Polepole kwenye video aliyoiachia kwenye ukurasa wake wa Instagram.
"Toka wakati huo saa tano, dada yangu simu yake haipokelewi. Tumejaribu kwenda pale nyumbani, watu wameona kuna magari, kuna Landcruiser, kuna Noah ambazo zilikua maeneo ya nyumbani mpaka muda huo wa saa tano na baadae," aliongeza zaidi.
"Na watu wengine ambao sio jamaa zangu [walionekana]. Kwa sababu dada yangu anakaa peke yake, wanafungua geti la nyumbani wanaingia wanatoka, baada ya muda tena wanarudi. Mimi nilitaka kusema, mimi sikai kwa dada yangu, na kama kuna mtu ananitafuta mimi, namba zangu zinapatikana," alifafanua zaidi Polepole ambaye amesema ataongea na Umma leo saa tano.
Soma zaidi
Kumbe field marshal una umbo la polygon??Fala wewe, chawa mkubwa wewe.
Dah Kiongozi kuwa na kiasi hujafa hujaumbika. Mungu akubariki sana.Kama polepole ana sura mbaya hivyo, dada yake ni kama dume, havutii
KumekuchaaNaama kumeanza kuchangamka.
OK mods kumbe imesharipotiwa. Sorry apology! ActiveWakuu!
Usiku wa saa Sita, Humphrey Polepole amedai kuwa; "Watu wameruka ukuta wa nyumbani kwa dada yangu Bahari Beach. Wamemwambia dada yangu wamefuata taarifa."
"Ninakwenda kujiridhisha. Sina tatizo kabisa, nilishamwambia Mungu wa mbinguni na anajua nina yeye tu."
Andiko lake limekuja masaa kadhaa kuelekea mkutano wake na Vyombo vya Habari baada ya kutangaza kusogeza mbele kutoka Julai 17 hadi leo Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi.
Mkutano huo unatarajiwa kutoa ufafanuzi kuhusu barua yake ya kujiuzulu Ubalozi wa Tanzania nchini Cuba.
==
Updates
"Kwenye saa tano usiku dada yetu, dada yangu mkubwa alimpigia simu mama yangu akamwambia kuna watu wameruka ukuta wameingia nyumbani kwake anaishi huko Bahari Beach. Na wakasogea mpaka kwenye nyumba wakamuambia wamefuata taarifa," ameeleza Polepole kwenye video aliyoiachia kwenye ukurasa wake wa Instagram.
"Toka wakati huo saa tano, dada yangu simu yake haipokelewi. Tumejaribu kwenda pale nyumbani, watu wameona kuna magari, kuna Landcruiser, kuna Noah ambazo zilikua maeneo ya nyumbani mpaka muda huo wa saa tano na baadae," aliongeza zaidi.
"Na watu wengine ambao sio jamaa zangu [walionekana]. Kwa sababu dada yangu anakaa peke yake, wanafungua geti la nyumbani wanaingia wanatoka, baada ya muda tena wanarudi. Mimi nilitaka kusema, mimi sikai kwa dada yangu, na kama kuna mtu ananitafuta mimi, namba zangu zinapatikana," alifafanua zaidi Polepole ambaye amesema ataongea na Umma leo saa tano.
Soma zaidi
Polepole aache kututishaNaama kumeanza kuchangamka.
Mshana Jr sikiliza clip hii ya polepole........ sentensi yake ya mwisho inaonesha kuwa yuko mafichoni ........."kesho waandishi wa habari watawasiliaa na mimi moja kwa moja na kuuliza maswali" means yuko mafichoniNaama kumeanza kuchangamka.
Mkuu, nimemsikiliza clip yake ya usiku anadai yupo TzAngekuwa Dar Mafwele angeshamteka na maiti yake ingekuwa tayari inagombewa na mamba wa mto Rufiji.
Hawezi kamwe kuwa public.. Dadaake wameshaondoka nayeMshana Jr sikiliza clip hii ya polepole........ sentensi yake ya mwisho inaonesha kuwa yuko mafichoni ........."kesho waandishi wa habari watawasiliaa na mimi moja kwa moja na kuuliza maswali" means yuko mafichoni
mungu wa mbinguni atubariki