hippocratessocrates
JF-Expert Member
- Jul 1, 2012
- 3,598
- 1,544
Sometimes i try to position myself on their side(Police/Defence)with regards to series of events and realize;
1.Polisi hupokea Amri(Order/Command) na jibu lao likiwa
moja(Ndiyo Afande).. LAKINI hii sidhani kama ni sababu
ya kuwafanya wapumzishe akili zao wakiwa makazini na
kuzi-activate tena wakiwa nje ya kazi zao(Familia, jamaa
na marafiki)
2.Inawezekana wanafanya hivi kwani wanajua hatuwezi
kuwashtaki, tunaishia kuongea na kufarijiana..Lakini
uthibitisho upo na wanasheria wapo lakini tunaishi katika
nchi hii kama tumepewa "zawadi" na watu fulani..and
tunashindwa hata kugoma(kwa nia njema) kwamba
waliotenda makosa wawajibishwe..kama tunashindwa
haya sioni dalili ya wao kuendeleza dhuluma
watupatiayo.