Kujificha nyuma ya keyboard kusikufanye ukose ubinadamu. Utajificha kwetu lakni si kwa Mungu
Sipendi vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini sipendi pia unyanyasaji huu kwa kukiukwa kwa haki za binaadamu kwa majeshi ya nchi hii kufanya hivi walivyovifanya kwa raia wasio na ujuzi hata wa kupigana ,siku Watanzania tutakapokimbizana na Serikali hii walau kwa mwezi mmoja inaweza kubadili hali ya mambo ukizingatia kuipata haki ni gharama kubwa.Imenisikitisha sana.
Nauliza umeona m2 aliyeuwawa kwenye hii video which is the subject of this thread au umekuwa mganga wa kienyeji... think with brain and with stomach!
Sio kwamba naunga mkono wa2 kuteshwa i'm trying not into the same trap wabunge wetu waliyoingia wakashindwa hata kutoka na objective recommendations.
ina sikitisha sana kuna wengine Wame lazimishwa kufanya mapenzi na watoto wao bila kujali jinsia, hii ime tokea vijiji vya kata ya KISAKI..
Ni kama nchi isiyokuwa na central Government!Huwezi fikiri kuna utawala wa sheria.
Kwakweli tunakopelekwa na ccm ni balaa
It is things like this the late Madiba fought against. Siku zote kuna njia mbadala bhana.