Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Kujificha nyuma ya keyboard kusikufanye ukose ubinadamu. Utajificha kwetu lakni si kwa Mungu

Nauliza umeona m2 aliyeuwawa kwenye hii video which is the subject of this thread au umekuwa mganga wa kienyeji... think with brain and with stomach!

Sio kwamba naunga mkono wa2 kuteshwa i'm trying not into the same trap wabunge wetu waliyoingia wakashindwa hata kutoka na objective recommendations.
 
Sipendi vita vya wenyewe kwa wenyewe lakini sipendi pia unyanyasaji huu kwa kukiukwa kwa haki za binaadamu kwa majeshi ya nchi hii kufanya hivi walivyovifanya kwa raia wasio na ujuzi hata wa kupigana ,siku Watanzania tutakapokimbizana na Serikali hii walau kwa mwezi mmoja inaweza kubadili hali ya mambo ukizingatia kuipata haki ni gharama kubwa.Imenisikitisha sana.

Hali hii inaleta chuki, uvumilivu ukiisha yatatokea ya mwanza, Mungu na atusaidie
 
Is not ok to like this. Pinda na serikali ya ccm lazima wawajibike kwa hili. Wala halina sababu ya kujitetea. Mtanzania unaishi maisha ya ni bora uwe mkimbizi..
A%20S-baby.gif

Kikwete Picha hii itakuhukumu mbele Za Allah siku ya mwisho kama hutafanya maamuzi makubwa kwa hili.
 
ina sikitisha sana kuna wengine Wame lazimishwa kufanya mapenzi na watoto wao bila kujali jinsia, hii ime tokea vijiji vya kata ya KISAKI..
 
Nauliza umeona m2 aliyeuwawa kwenye hii video which is the subject of this thread au umekuwa mganga wa kienyeji... think with brain and with stomach!

Sio kwamba naunga mkono wa2 kuteshwa i'm trying not into the same trap wabunge wetu waliyoingia wakashindwa hata kutoka na objective recommendations.

pumbafu kwa hiyo unasubiri video uone wanawake wakibakwa ai wakiuwawa!? kapitie mawio la jana..
 
unajua hii kitu haijarekodiwa na Raia,imerekodiwa na Askari mzalendo na aliye kubali itufikie JF so,kama nimeona haya machache basi mengi yako Behind the scene,Poleni sana Watanzania wenzetu.
 
Tuchague moja tunataka tembo au haki za binadamu kisha tufanye maamuzi magumu.
 
It is things like this the late Madiba fought against. Siku zote kuna njia mbadala bhana.
 
Watanzania wenzetu wangekuwa nchi zingne wanafanyiwa hvi, mnaoshabikia mgeshabikia?
 
Baada ya kuwapiga wale wa Ntwara waliokuwa wanataka kuzuia bomba la gesi, serikali iliona kuwa kutumia jeshi ndo njia bora na salama! Wanajeshi hawakujiamulia bali waliamuriwa. Nani wa kuwajibika?
 
It is things like this the late Madiba fought against. Siku zote kuna njia mbadala bhana.


Halafu eti watawala wetu waliagiza bendera zipeperushwe nusu mlingoti kumuomboleza Mandela. Mandela alipambana dhidi ya unyama kama huu. Kumuenzi kwa dhati ni kukumbatia utawala wa demokrasia na kuziba minaya ya ukatili kama huu.

Very shameful condition. Halafu bado kuna watu wanashikilia nafasi zao as if wameuwawa na kuteswa kunguru.

Huu ndiyo mbadala wa maisha bora kwa kiloa Mtanzania, ahadi ya ajira milioni 1 n.k, n.k

Bila shaka mateso haya hayana budi kuja!
 
Back
Top Bottom