Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Na hakuna mtu amefikishwa mahakamani zaidi ya usanii wa kubadirishana vyeo?
 
Hili jeshi halijabadilika - halina u professional - kazi yao ni kunyanyasa tu. Sioni sababu ya kuwapiga hao watu na huku wakicheka.
 
Kinachoendelea sasa kwa jeshi letu la polisi ni muendelezo tuu wa haya!.

Sisi wanahabari, tulipaswa kuyakemea matendo haya maovu ya polisi wetu tangu kitambo, na sio sasa ndio tunapiga mayowe kwa nguvu as if polisi wetu ndio wameanza leo!, najua kelele zimezidi kwa sababu ni sisi waandishi, ila polisi walipaswa kushukiwa siku nyingi, kwa sababu hizi ndio zao, kila siku wanawafanyia raia vitendo hivi, sisi kama waandishi, kazi yatu ni kutafuta angle nzuri, kupuga picha na kuripoti as if the police were doing the right thing!, mpaka walipotushukia sisi waandishi ndipo tunazinduka!.

Pasco
 
Action & Reaction unadhani mwisho wake ni nini?.
 
Wakuu ni ombi tu hizi picha zinazidisha hasira kwa wale walio namna moja au nyengine athirika na fujo au matukio hayo. Sidhani kama ni busara kuziweka kwani unachochea chuki katika jamii!! Ni mtazamo tu.
Hhaahhah Chuki .... Say That when your Mother get shot
 
We are back to square one. This's disgusting!
Looks like the forces have no heart or shame to attack a fellow Tanzanian randomly.
God forbid wananchi decide to take this to the streets, and it gets out of control.

..Praying It's taken care of before it's too late!...

"The baobabs are giant plants that grow on the prince's planet. They start off as tiny weeds, but if not uprooted and discarded when they are little, they firmly take root and can even cause a planet to split apart.."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…