Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know!

images
 
walaaniweee na mikono yao iliyo jaa damu na roho za marehemu waliowauwa! mungu awaandalie mauti yao na moto wa milele uwangoje! anayependa amani na aseme Aaaamiiin!
 
Wanabodi

Nimeangalia ITV news hiyo kamata kamata ya jana ya waunini wa kanisa la Ephata, vijana wako wameonyesha udhaifu mkubwa!.

Baada ya kuwalipua wale waumini kwa mabomu ya machozi na kuwa contain, walitumia risasi za moto za nini kukabiliana na watu wasio na silaha yoyote?.

Kitu cha kusikitisha zaidi ni watuhumiwa hao kuendelea kushushiwa kipigo hata baada ya kuwa mikononi mwa palisi!.

Baada ya vijana wako kuwakamata watuhumiwa kuna sababu gani ya kuendelea kuwashushia kipigo mpaka wakiwa ndani ya defender ya polisi?.

Naomba niwakumbushe tuu baadhi ya visa vya police brutality and no one amechukuliwa hatua zozote!.

Kuna kisa cha watuhumiwa fulani 4 kilichotokea Arusha ambapo watuhuniwa hao walikamatwa toka nyumbani mwao mmoja baada ya mwingine wakiwa wazima huku wakitembea wenyewe siku ya Ijumaa.

Jumamosi ndugu zao wakafika kituo cha polisi kuwaletea ndugu zao chakula, walielezwa watuhumiwa hao wamepelekwa mahali kwa mahojiano.

Kesho yake Jumapili waliporudi polisi walielezwa ndugu zao wamepelekwa hospitali ya Mt. Meru.

Walipofika hospitali waliinyeshwa miili ya watu wanne waliouwawa kinyama na majeraha ya vipigo!. Polisi walipoifikisha miili hiyo hospitalini hapo, waliandikisha kuwa wameiokota eneo la Unga Limited baada ya kupigwa na watu wenye hasira!.
The story ended up there and then!. Hakuna chochote kilicho fuatia hata tuu japo kuulizwa kama ile kesi ya Zombe!.

Kwa nini mtuhumiwa aliyekuwa mzima afie mikononi mwa polisi bila uwajibikaji wowote wa jeshi la polisi?!.

Kamanda Mwema, haya yanatokea kwa sababu mnajua Watanzania hawajui haki zao, polisi wako hawajui haki za binaadamu na kama arrest kama za jana zenye police brutality zimefanywa mbele ya camera, and nobody cares, huko behind bars ni nini haswa kinafanyika?. Si ndio itakuwa worse?!.

Yote haya yanawezekana kwa sababu Watanzania hatujui haki zetu, chochote kinachofanywa na polisi wanajua ndio haki yao tena watu hawajui kabisa kuwa raia wa kawaida anaweza kulishitaki jeshi la polisi!.

No one is above the law, please stop this police brutality inayofanywa wazi wazi and behind closed doors, kuna kitu kinaitwa karma, kitakuja kuwarudi watenda maovu wote na malipo ni hapa hapa duniani!.

Thanks.

Pasco.
 
Wapelekwe UK wakajifunze namna wenzao walivyokabiliana na vurgu za vijana,au waende Italy wapate skills za kukabiliana na vurugu
 
Wanabodi

Nimeangalia ITV news hiyo kamata kamata ya jana ya waunini wa kanisa la Ephata, vijana wako wameonyesha udhaifu mkubwa!.

Baada ya kuwalipua wale waumini kwa mabomu ya machozi na kuwa contain, walitumia risasi za moto za nini kukabiliana na watu wasio na silaha yoyote?.

Kitu cha kusikitisha zaidi ni watuhumiwa hao kuendelea kushushiwa kipigo hata baada ya kuwa mikononi mwa palisi!.

Baada ya vijana wako kuwakamata watuhumiwa kuna sababu gani ya kuendelea kuwashushia kipigo mpaka wakiwa ndani ya defender ya polisi?.

Naomba niwakumbushe tuu baadhi ya visa vya police brutality and no one amechukuliwa hatua zozote!.

Kuna kisa cha watuhumiwa fulani 4 kilichotokea Arusha ambapo watuhuniwa hao walikamatwa toka nyumbani mwao mmoja baada ya mwingine wakiwa wazima huku wakitembea wenyewe siku ya Ijumaa.

Jumamosi ndugu zao wakafika kituo cha polisi kuwaletea ndugu zao chakula, walielezwa watuhumiwa hao wamepelekwa mahali kwa mahojiano.

Kesho yake Jumapili waliporudi polisi walielezwa ndugu zao wamepelekwa hospitali ya Mt. Meru.

Walipofika hospitali waliinyeshwa miili ya watu wanne waliouwawa kinyama na majeraha ya vipigo!. Polisi walipoifikisha miili hiyo hospitalini hapo, waliandikisha kuwa wameiokota eneo la Unga Limited baada ya kupigwa na watu wenye hasira!.
The story ended up there and then!. Hakuna chochote kilicho fuatia hata tuu japo kuulizwa kama ile kesi ya Zombe!.

Kwa nini mtuhumiwa aliyekuwa mzima afie mikononi mwa polisi bila uwajibikaji wowote wa jeshi la polisi?!.

Kamanda Mwema, haya yanatokea kwa sababu mnajua Watanzania hawajui haki zao, polisi wako hawajui haki za binaadamu na kama arrest kama za jana zenye police brutality zimefanywa mbele ya camera, and no body cares, huko behind bars ni nini haswa kinafanyika?. Si ndio itakuwa worse?!.

Yote haya yanawezekana kwa sababu Watanzania hatujui haki zetu, chochote kinachofanywa na polisi wanajua ndio haki yao tena watu hawajui kabisa kuwa raia wa kawaida anaweza kulishitaki jeshi la polisi!.

No one is above the law, please stop this police brutality inayofanywa wazi wazi and behind clossed doors!.

Thanks.

Pasco.

Mkuu tuache kutetea, jamaa walikua na silaha maana walipiga risasi 2 juu na kumbuka walivamia kiwanda, kuvunja na kuchoma moto wanafaa kusulubiwa
 
Walichokifanya ulikuwa ni upumbavu uliopitiliza, fikiria, kuna askari kanzu kavaa suruali nyekundu, huyu alitaka kuonesha ni namna gani anaweza kuruka na kupiga mateke kwa mtu ambaye yupo chini ya ulinzi
 
Pasco, kwa kweli hii Coverage niliangalia jana, nilijiuliza maswali mengi sana juu ya credibility ya Jeshi letu, Kwakweli kwa tabia hizo hauko salama ukiwa mikononi mwa hawa watu, Si wa kuaminika hata kidogo. Mtu ameshamkamatwa amefungwa , au kushikwa mikono kwanini anapigwa tena
 
Mkuu tuache kutetea, jamaa walikua na silaha maana walipiga risasi 2 juu na kumbuka walivamia kiwanda, kuvunja na kuchoma moto wanafaa kusulubiwa
Odinyo, sitetei walichofanya hao wavamizi, au sitetei uhalifu wa aina yoyote, ninachotetea, ni kuwa
1. Hao wahalifu hawakuwa na silaha yoyote ya moto, sasa polisi wanapiga risasi za moto za nini?.
Sipo sheria, taratibu na kanuni zinazotawala uvamizi wa polisi kwenye nyumba za ibada pale wahalifu
wanapokimbilioa kwenye nyumba hizo kujisalimisha!, zilifuatwa?. Sikuona gari la matangazo, sikuona polisi
wakilizunguka jengo kuwataka wajisalimishe, baada ya kutumia mabomu ya machozi kwa wahalifu wasio na silaha
za moto, kinachofuatia ni ruber bullets na sio fire bullets!. Nilichoona ni fire bullets as if jamaa wako vitani, na hao
askari wenyewe nimeona wanavyo advance, wako nyoro nyoro tuu, wakikutana na watu wa ukweli wa shughuli hizo
wangeweza wiped out!.

2. Wahalifu umeshawashika, wako chini ya ulinzi wa polisi, kwa nini ni polisi hao hao waliendelea kuwashushia vipigo?.
Nilidhana mikononi mwa polisi ndizo safe hands za wahalifu kujisalimisha!, kichapo cha nini?. I wish kama hilo kanisa ni kweli linamwabudui Mungu aliyejuu, hao askari wote waliofanya waliyoyafanya, yatawakuta ya kuwakuta!.
 
hata katika mazishi ya kanumba polisi wamediriki kuwapiga watu.nimeshuhudia mama mmoja kupigwa eti wanazuia fujo.je hakuna njia nyingine ya kuzuia fujo zaidi ya kupiga na kupiga risasi? Polisi vilaza!
 
Kwa muda mrefu ktk nchi hii vyombo vya usalama hususani polisi wamekuwa wakifanya unyama mkubwa kwa raia. Bora uwe mikononi mwa simba mwenye njaa kuliko kuwa chini ya 'wanyama hao binadamu'.

Kwa kweli wananchi hatuko tena tayari kuona unyama huo wa jeshi la polisi ukiendelea, ni suala la muda tu tutachukua hatua 'at any cost'.
 
Pasco, kwa kweli hii Coverage niliangalia jana, nilijiuliza maswali mengi sana juu ya credibility ya Jeshi letu, Kwakweli kwa tabia hizo hauko salama ukiwa mikononi mwa hawa watu, Si wa kuaminika hata kidogo. Mtu ameshamkamatwa amefungwa , au kushikwa mikono kwanini anapigwa tena

Tena kama mm ndo ningekuwa igp ningeruhusu nakoz za kutosha..'m raia ina mambo ya kibish ndo maana inasomeka TANZANIA POLICE FORCE ni sahihi kabisa kupewa nakozi m naona hata hicho kipondo hakikuwatosha
 
Back
Top Bottom