Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida muda utakuwa wakati MBWA wanaotumika bila kutumia BONGO zao watarudiwa na jeshi la uma.![]()
Police in Arusha 5/1/2011
Brutal Assassins, murderers!!!!!! Shame on you killers.![]()
Mwema in action
![]()
Hapa ni zanzibar Police in action
![]()
![]()
Police in action zanzibar
Wanabodi
Nimeangalia ITV news hiyo kamata kamata ya jana ya waunini wa kanisa la Ephata, vijana wako wameonyesha udhaifu mkubwa!.
Baada ya kuwalipua wale waumini kwa mabomu ya machozi na kuwa contain, walitumia risasi za moto za nini kukabiliana na watu wasio na silaha yoyote?.
Kitu cha kusikitisha zaidi ni watuhumiwa hao kuendelea kushushiwa kipigo hata baada ya kuwa mikononi mwa palisi!.
Baada ya vijana wako kuwakamata watuhumiwa kuna sababu gani ya kuendelea kuwashushia kipigo mpaka wakiwa ndani ya defender ya polisi?.
Naomba niwakumbushe tuu baadhi ya visa vya police brutality and no one amechukuliwa hatua zozote!.
Kuna kisa cha watuhumiwa fulani 4 kilichotokea Arusha ambapo watuhuniwa hao walikamatwa toka nyumbani mwao mmoja baada ya mwingine wakiwa wazima huku wakitembea wenyewe siku ya Ijumaa.
Jumamosi ndugu zao wakafika kituo cha polisi kuwaletea ndugu zao chakula, walielezwa watuhumiwa hao wamepelekwa mahali kwa mahojiano.
Kesho yake Jumapili waliporudi polisi walielezwa ndugu zao wamepelekwa hospitali ya Mt. Meru.
Walipofika hospitali waliinyeshwa miili ya watu wanne waliouwawa kinyama na majeraha ya vipigo!. Polisi walipoifikisha miili hiyo hospitalini hapo, waliandikisha kuwa wameiokota eneo la Unga Limited baada ya kupigwa na watu wenye hasira!.
The story ended up there and then!. Hakuna chochote kilicho fuatia hata tuu japo kuulizwa kama ile kesi ya Zombe!.
Kwa nini mtuhumiwa aliyekuwa mzima afie mikononi mwa polisi bila uwajibikaji wowote wa jeshi la polisi?!.
Kamanda Mwema, haya yanatokea kwa sababu mnajua Watanzania hawajui haki zao, polisi wako hawajui haki za binaadamu na kama arrest kama za jana zenye police brutality zimefanywa mbele ya camera, and no body cares, huko behind bars ni nini haswa kinafanyika?. Si ndio itakuwa worse?!.
Yote haya yanawezekana kwa sababu Watanzania hatujui haki zetu, chochote kinachofanywa na polisi wanajua ndio haki yao tena watu hawajui kabisa kuwa raia wa kawaida anaweza kulishitaki jeshi la polisi!.
No one is above the law, please stop this police brutality inayofanywa wazi wazi and behind clossed doors!.
Thanks.
Pasco.
Odinyo, sitetei walichofanya hao wavamizi, au sitetei uhalifu wa aina yoyote, ninachotetea, ni kuwaMkuu tuache kutetea, jamaa walikua na silaha maana walipiga risasi 2 juu na kumbuka walivamia kiwanda, kuvunja na kuchoma moto wanafaa kusulubiwa
Pasco, kwa kweli hii Coverage niliangalia jana, nilijiuliza maswali mengi sana juu ya credibility ya Jeshi letu, Kwakweli kwa tabia hizo hauko salama ukiwa mikononi mwa hawa watu, Si wa kuaminika hata kidogo. Mtu ameshamkamatwa amefungwa , au kushikwa mikono kwanini anapigwa tena