Wengi wao ni failures wa form four na std seven what do you expect.
Uzuri ni kwamba Mahakama haina sikujua!Mh sio Kama hawajui,Ila Ni kuweka mazingira ya sintofahamu ya kutojua kuwa sababu.
Angalizo: Tanzania kuna mahali tulikosea sana siku za nyuma, kuhusu elimu yetu na professional training kwa ujumla. Hili la polisi ni just a tip of iceburg. Ukweli ni kuwa sekta zote nchini wafanyakazi na wataalam wetu wako hivyo. Kwa mfano ni madaktari wengi sana ni vilaza. Ukija kwa majaji na wanasheria ndivyo hivyo hivyo. Ukienda kwa viongozi wa kisiasa ni zaidi ya uozo. Rudi kwa waandishi wa habari utatapika. Yaani ni kote.Ni lini tutaifanya hii kazi iwe more professional rather than politically driven? Tukiifanya more professional hata wao watajitambua.
Two things needs to happen.Ni lini tutaifanya hii kazi iwe more professional rather than politically driven? Tukiifanya more professional hata wao watajitambua.
let us focus on the police force,Angalizo: Tanzania kuna mahali tulikosea sana siku za nyuma, kuhusu elimu yetu na professional training kwa ujumla. Hili la polisi ni just a tip of iceburg. Ukweli ni kuwa sekta zote nchini wafanyakazi na wataalam wetu wako hivyo. Kwa mfano ni madaktari wengi sana ni vilaza. Ukija kwa majaji na wanasheria ndivyo hivyo hivyo. Ukienda kwa viongozi wa kisiasa ni zaidi ya uozo. Rudi kwa waandishi wa habari utatapika. Yaani ni kote.
Shida pia sisi watanzania ni watu wa kuweka utaratibu juu ya utaratibu. Sheria zipo lakini utasikia "akisema......." hiyo ni sheria tayari. Really? No at all. Lazima tufikie sehemu tuheshimu sheria. Hii kesi inayoendelea inaibua mengi. Pia inaonesha ni kwa namna gani tunavyotakiwa kureform our mode of professionalism in various fields. Hata zile on job training tunaona umuhimu wake. Ni lazima tujue pia kwamba kuna kazi zinamuhitaji mtu kuwa fit kwenye psychomotor na nyingine fit mentally and you can never exchange or reverse the two.Two things needs to happen.
1. Our Police force should be left to operate independent of all sorts of political interests.
2. Communication and assignment of responsibilities and orders within the force should be regulated by the famous PGO,
to avoid the abuse of power by senior officers.
You are very right ndugu...!!Angalizo: Tanzania kuna mahali tulikosea sana siku za nyuma, kuhusu elimu yetu na professional training kwa ujumla. Hili la polisi ni just a tip of iceburg. Ukweli ni kuwa sekta zote nchini wafanyakazi na wataalam wetu wako hivyo. Kwa mfano ni madaktari wengi sana ni vilaza. Ukija kwa majaji na wanasheria ndivyo hivyo hivyo. Ukienda kwa viongozi wa kisiasa ni zaidi ya uozo. Rudi kwa waandishi wa habari utatapika. Yaani ni kote.
Angalizo: Tanzania kuna mahali tulikosea sana siku za nyuma, kuhusu elimu yetu na professional training kwa ujumla. Hili la polisi ni just a tip of iceburg. Ukweli ni kuwa sekta zote nchini wafanyakazi na wataalam wetu wako hivyo. Kwa mfano ni madaktari wengi sana ni vilaza. Ukija kwa majaji na wanasheria ndivyo hivyo hivyo. Ukienda kwa viongozi wa kisiasa ni zaidi ya uozo. Rudi kwa waandishi wa habari utatapika. Yaani ni kote.
Ni kweli, jeshi la Polisi likiondolewa be kwenye kutumikia siasa, hata wao watafanya kazi zao kwa weledi kwa kuwa mipaka yao ya kazi watakuwa wanaijua, lakini kwa kuwa wanafanya kazi kwa kufuata matakwa ya siasa, hawawezi kujibu swali ambalo ambalo liko kinyume na alichofanya. Kumbuka RPC Kinondoni wakati anamkamata Mhe. Mbowe alimwambia "Safari hii huchomoki", HAPA tayari anachokitayarisha lazima kiwe kinyume na PGO , matokeo yake, BAADA ya maswali anaomba kwenda kukojoa!Ni lini tutaifanya hii kazi iwe more professional rather than politically driven? Tukiifanya more professional hata wao watajitambua.
Tupo wachache Sana wenye Akili Kama yako mkuu.Waliobakia ni wale madodoki Mh. Kikwete alio waambia wasitegemee jeshi la Polisi kufanya saisa lakini wameshindwa mpka sasaJeshi la polisi haliko huru kwasababu IGP ni mteule wa rais ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha siasa,
Ndiyo maana tunahitaji Katiba itakayoondoa mamlaka ya rais kumteua IGP ili jeshi lisiwe na sura ya kisaisa.
Nafasi ya IGP, Majaji etc iwe ni ajira afanyiwe interview mbele ya tume maalum ya ajira.
Baada ya hapo mitaala ya mkoloni wanayotumia huko kwenye mafunzo yao ifutwe yote watengeneze upya.
Nchi yetu imeshakwama, tunatakiwa kupitia mtafaruku ambao utaleta heshima kwa kila mtu. Wanaccm hawaheshimu wasio wanaccm, angalia mfano tu humu jukwaani(Jamiiforums) namna wanaccm wanavyotukana na kukebehi wapinzani. Polisi walishafika mahali pa kujiona wao ni watawala, hivyo Hakuna mtu wa kuwafanya kitu.Tupo wachache Sana wenye Akili Kama yako mkuu.Waliobakia ni wale madodoki Mh. Kikwete alio waambia wasitegemee jeshi la Polisi kufanya saisa lakini wameshindwa mpka sasa
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app