Police General Orders(PGO) ni nini, nitaipata wapi?

Yanayoendelea mahakamani ni ushahidi kwamba kwa Tanzania polisi ni kibaka aliekabidhiwa sare na kudhaminiwa na utawala
 
Waachane na POLICE FORCE waende kwenye POLICE SERVICE...
 
Kigezo cha polisi Tanzania kuajiriwa ni kuwa na Div 4 ya form4. Hawataki 1 wala 2 wala 3 ni four tu.
 
Naona tusome kwa pamoja na polisi wetu, tuimbishwe na mwalimu halafu wote kwa pamoja turudie atachokisoma mwalimu.
 
PGO,GPO,au OPG... Maana huku mtaani ni sarakasi tupu. Hizo herufi zinachangnywa mno. Ila polisi wetu nawahurumia, wao wanfunzwa namna ya kuonea raia,hasa walio kinyume na mawazo ya serikali. Sheria za polisi ni za kikoloni...
kibatala: ieleze mahakama,PGO inayotumika ni toleo la mwaka gani
Shahidi:sijui
 
PGO ina kanuni ambazo zinatakiwa Manjagu wetu wazimeze na kuzielewa na ndio muongozo wa kazi yao kila siku wanapokua kituo cha kazi au kuondoka na mtuhumiwa kama zilivyo sheria za kodi tatizo hiyo PGO ipo kwa kidhungu ndio maana wakina kibatala wanatamba kama Gaucho uwanjani...na hiyo PGO huwezi kusoma leo uamke kesho unaijua ukajibu maswali ya Mawakili watata..
 
Huu msemo umeungia sana, kila ninapopita nakutana na watu wakiyatumia maneno hayo.

Hata wasipo yatumia kwa mpangilio huo, neno GPO halikosekani.

Hiyo GPO ni nini haswa, na kwani ipate umaarufu majira na nyakati hizi?
Buji naomba nipe pgo yako nimsomee
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…