Nani kakudanganya kindezi namna hiyo??Hiyo ni katiba ya askari police tuu.wewe raia mwema haikuhusu
Sio katiba mkuu usiongee vitu ambavyo hujui huo ni muongozo wa utendaji wa polisi, raia inakubidi kuijua ili usipokwe haki yako..Hiyo ni katiba ya askari police tuu.wewe raia mwema haikuhusu
Haki inapokwa Sana, Soma tu bandiko langu hapoSio katiba mkuu usiongee vitu ambavyo hujui huo ni muongozo wa utendaji wa polisi, raia inakubidi kuijua ili usipokwe haki yako..
pdf yake ishapatikana ?Buji naomba nipe pgo yako nimsomee
Ni kama wamebadilishana tu;Hayo si ni mambo ya kipolisi? Imekuwaje yawe gumzo kitaa?
PGO,GPO,au OPG... Maana huku mtaani ni sarakasi tupu. Hizo herufi zinachangnywa mno. Ila polisi wetu nawahurumia, wao wanfunzwa namna ya kuonea raia,hasa walio kinyume na mawazo ya serikali. Sheria za polisi ni za kikoloni...
kibatala: ieleze mahakama,PGO inayotumika ni toleo la mwaka gani
Shahidi:sijui
Kweli kabisa mkuu, hata ukamataji tu haufanyiki inavyotakiwa polisi hajitambulishi, mtuhumiwa hasomewi haki zake wala kuambiwa sababu ya kukamatwa utaskia twende utajua hukohuko kituoni which is not right unaweza kubambikiwa kesi..Mimi huwa najiuliza na Pia nakosa Majibu, Wenzetu ulaya wamejiongeza hadi Kuweka body Cam (kamera mwilini) Ili kuzuia police asitende nje ya sheria ya kazi Yake, ila hapa Tanzania mambo ni tofauti kabisa!!
1 :Fikiria hapa police wanafanya kazi Bila utambulisho wowote au kuwa na fake identity!?
2: Vitendea kazi vyao Magari kwa Mfano mengine hayana hata number (identification)
3: Pia Mengine yamewekwa numba fake! Huwa kwa hali hii huwa nashangaa sana, hii kwa tafsiri rahisi inahamasisha, Polisi anaweza kufanya jambo lolote baya na kuharibu taswira yote ya jeshi letu!
Pendekezo
Naomba ikiwezekana na iwe kwa udharura Magari yote ya Jeshi yawekwe numba kwa ajili ya utambulisho!! Kwani Polisi sio Malaika!! Hii itaongeza uwajibikaji WA Jeshi na kuongeza utoaji haki
Angalia post #211pdf yake ishapatikana ?
Kuna siku watajichanganya pabaya saana na ndio itakuwa fundisho kwa wengine. Haki yangu ni mali yangu. Time will tellsasaa wewe endelea kusubiri uje usikie polisi anakuja kukupakapaka mafuta kaja kukukamata ni mwendo wa virungu tu magaidi kama nyie mapak mjinyee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PGO ina kanuni ambazo zinatakiwa Manjagu wetu wazimeze na kuzielewa na ndio muongozo wa kazi yao kila siku wanapokua kituo cha kazi au kuondoka na mtuhumiwa kama zilivyo sheria za kodi tatizo hiyo PGO ipo kwa kidhungu ndio maana wakina kibatala wanatamba kama Gaucho uwanjani...na hiyo PGO huwezi kusoma leo uamke kesho unaijua ukajibu maswali ya Mawakili watata..