Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Hivi hii PGO ni nini hasa?je ni regulation au nini?maana inaongelewa sana na mawakili katika hii kesi yenye mvuto sana ya Anayeitwa Gaidi Mbowe.
mnaweza kutuwekea hata copy yake humu tuisome.maana inavyoonekana ni kwamba hiyo doc,polisi wenyewe hawaijui vizuri
Mwongozo wa utendaji kaziHivi hii PGO ni nini hasa?
PGO ni POLICE GENERAL ORDERS..Hivi hii PGO ni nini hasa?je ni regulation au nini?maana inaongelewa sana na mawakili katika hii kesi yenye mvuto sana ya Anayeitwa Gaidi Mbowe.
mnaweza kutuwekea hata copy yake humu tuisome.maana inavyoonekana ni kwamba hiyo doc,polisi wenyewe hawaijui vizuri
Jisomee mwenyewe kwa Kiingereza au Kiswahili.Hivi hii PGO ni nini hasa?je ni regulation au nini?maana inaongelewa sana na mawakili katika hii kesi yenye mvuto sana ya Anayeitwa Gaidi Mbowe.
mnaweza kutuwekea hata copy yake humu tuisome.maana inavyoonekana ni kwamba hiyo doc,polisi wenyewe hawaijui vizuri
Hivi hii PGO ni nini hasa?je ni regulation au nini?maana inaongelewa sana na mawakili katika hii kesi yenye mvuto sana ya Anayeitwa Gaidi Mbowe.
mnaweza kutuwekea hata copy yake humu tuisome.maana inavyoonekana ni kwamba hiyo doc,polisi wenyewe hawaijui vizuri
HahahahahahMuombe Sirro
Asante sana MkuuView attachment 1953815
Aisee, huyu ACP Ramadhani Kingai ameibua hata ambayo tulikuwa hatuyajui...
Sasa watakoma na kuanzia siku ile Kingai aliposhindwa kujibu maswali ya PGO sitakubali kuonewa na polisi awaye yeyote maana nimeshai - download PGO ya kiingereza na kiswahili....
Japo Kitabu kikubwa chenye kurasa karibu 800, lakini tutakisoma mpaka tujue siri iliyomo ndani yake....
Ooooh kumbePGO ni POLICE GENERAL ORDERS..
Ndio muongozo mkuu wa shuguli zote za polisi.