spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 7,557 Reaction score 20,477 Sep 16, 2022 #21 Hio ni alert tu hamna alofukuzwa hapo
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Sep 16, 2022 #22 Hao askari tumewaondoa katika Jeshi letu na tutaendelea kufuatilia na wengine watakaoshindwa kufanya kazi kwa uadilifu, kulingana na kiapo walichokikubali wakati wanajiunga na Jeshi hilo,”[emoji1752]
Hao askari tumewaondoa katika Jeshi letu na tutaendelea kufuatilia na wengine watakaoshindwa kufanya kazi kwa uadilifu, kulingana na kiapo walichokikubali wakati wanajiunga na Jeshi hilo,”[emoji1752]