Polisi: Bado tunasubiri Polepole aripoti Ofisi ya DCI; taarifa za kutekwa kwake tumeanza kufanyia kazi

Kafanya kosa kubwa sana kama ni kweli
 
Kwa hii taarifa na kama ni kweli wamemchukua basi kuna uwezekano jamaa akawa ndio basi tena. Mungu amlinde
 

Deepstate walizotaja Humphrey Polepole na Captain JC Tesha ndiyo hizi kuwa jeshi halina habari juu ya kukamatwa kwa Humphrey Polepole

TOKA MAKTABA :

 
Mimi ninachoona kwa sasa nchi haiongozwi na Samia,inawezekana hata yeye anaishi kwenye upga wahuni wamemteka na wanamtishana na wanafanya mambo yao kwa sura yake. Kwa jinisi wamama walivyo na upendo siamini huu ukatili unafanyika akiwa yeye kama yeye.
 
Hata Mange alipo wanamfikia tu sema ishu za kidiplomasis zinawazuia.
 
Ajabu wanasema kama ndugu zake wanavyosema mitandaoni! ao Ndugu zake wamemtaja mpaka muhusika wa utekaji ila kipande cha ndugu kutaja muhusika wa utekaji wao hawajakipata bado.
Ndio hapo inamaana hao polisi wao Mafwele hawamjui mapaka wanarukaruka taarifa?
 
Siyo kila maamuzi huwa anafanya Rais, Rais huwa yupo monitored ndo maana anaweza kuzuiwa hata kumpa mtu mkono, hivyo hivyo anaweza kuzuiwa asilale hapa alale kule, asile hichi ale kile, kwahiyo obviously ukiwa Rais alafu ni goigoi huna maamuzi magumu lazima kuna mambo yatafanyika bila ridhaa yako mengi tu.

Kuna watu wapo ambao kama hauko imara wanaweza kuamua kukuchafua kwa kufanya matukio ambayo wewe ndo utakua judged kuwa ndiyo mtendaji mkuu, kwahiyo unachosema kinawezekana pia.

Ndo maana Magufuli aliwahi kusema kuna watu wananipangia ila mimi sipangiwi, kwahiyo alijaribu kuonyesha taswira ya u Rais upoje, na unaweza ukawa Rais lakini ukawekwa hapo ili kunufaisha watu wengine na ukiwa kinyume na hao watu wanaweza kukugeukia hata wewe, ndo maana polepole aliwahi kutoa maelezo yanayoashiria Magufuli aliuwawa.
 
Siku hizi kuna kasheshe, Kurasa za mitandao ya kijamii ya jeshi la polisi zimefunga comment section, Msemaji mkuu wa serikali kurasa zake zimefunga comment section.

Wao wanatoa taarifa , hawataki kupokea feedback kutoka kwa wananchi.
Sasa ukienda kuna acccount zingine ziko private mode kabisa na kikufuli mpaka waaccept request yako ndio uone content kama account ya TRA kule X.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…