Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linachunguza taarifa ya kifo cha mtu mmoja jinsia ya kike anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 20 hadi 25 ambaye tarehe 13 Oktoba, 2026 saa 11 :30 jioni mwili wake ulikutwa kwenye bonde lenye uchafu eneo la Kibondemaji Mbagala Dar es Salaam ukiwa kwenye kichaka.
Taarifa za tukio hili zipo katika kituo cha Polisi Mbagala Temeke na watuhumiwa wanasakwa kwa hatua zaidi za kisheria
Soma Pia: Muliro: Tunachunguza kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa mtaroni Mwenge