Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Idara ya usalama barabarani ilitakiwa isiwe ni sehemu ya jeshi la PolisiWanaendesha kanakwamba balabala lao
kweli mkuu.Idara ya usalama barabarani ilitakiwa isiwe ni sehemu ya jeshi la Polisi
Ni wababe sana na hawana utu. Nilipigwa cheti eti sababu gari imepauka kwenye bonet, sh 30'000/-kweli mkuu.
Lakini ukiangalia wao ukikosea kidogo unakula hata makofi kama yule trafiki flani pale Mwanjelwa
Utakuta wako kwenye makarandika, wanapita saiti sio yao, halafu wanaendesha vibayaWanajeshi na Police wao wako juu ya sheria za rodi.....wanapita hata upande usio wao
Nikweli na ni picha mbaya kwa jamiiUtakuta wako kwenye makarandika, wanapita saiti sio yao, halafu wanaendesha vibaya
Hawajui haki ni nini, wajibu ni nini na utii bila shuruti ni Nini?Nasikia wanaweza kugonga gari yako halafu wanakuweka wewe ndani, na Pesa lazima ikutoke.
Ni ulimbukeni tu unawasumbua! Askari anaejielewa hawezi kufanya Ujinga huo wa kuendesha gari bila kufuata Sheria! Askari anaejitambua hufuata Sheria ili awe mfano kwa Raia wema!!Wanajeshi na Police wao wako juu ya sheria za rodi.....wanapita hata upande usio wao
Wakati wao Kama law enforcement officers wanatakiwa wawe mfano mzuri wa kutii Sheria bila shuruti kwa Jamii yetu!!Hawajui haki ni nini, wajibu ni nini na utii bila shuruti ni Nini?
Wanekuwa mahayawani insteadWakati wao Kama law enforcement officers wanatakiwa wawe mfano mzuri wa kutii Sheria bila shuruti kwa Jamii yetu!!
Hata wahalifu..... Tuki mess tuna mapolisi wa kutupigia simu, unaliongeleaje hili?Ni ulimbukeni tu unawasumbua! Askari anaejielewa hawezi kufanya Ujinga huo wa kuendesha gari bila kufuata Sheria! Askari anaejitambua hufuata Sheria ili awe mfano kwa Raia wema!!
Hao siyo Mapolice ni wahalifu wenzenu walioko ndani ya Jeshi la Police! Sema huwa hawana muda mrefu sana ndani ya Jeshi,huwa system inawatema mmoja baada ya mwingine!!Hata wahalifu..... Tuki mess tuna mapolisi wa kutupigia simu, unaliongeleaje hili?
Barabara ya kwao! We mtanzania wa wapi? Au umepewa utanzania na Simbachawene!Wanaendesha kanakwamba balabala lao