Polisi endesheni magari yenu kwa kufuata Sheria za usalama barabarani, hamko juu ya Sheria

Polisi endesheni magari yenu kwa kufuata Sheria za usalama barabarani, hamko juu ya Sheria

Hao siyo Mapolice ni wahalifu wenzenu walioko ndani ya Jeshi la Police! Sema huwa hawana muda mrefu sana ndani ya Jeshi,huwa system inawatema mmoja baada ya mwingine!!
Since 1995 Kuna mapolisi wa kuwapigia simu nikizingua kitaa, na wananichomoa
 
Since 1995 Kuna mapolisi wa kuwapigia simu nikizingua kitaa, na wananichomoa
Kama wwe kweli ni muhalifu,kwa Nini wakulinde!? Kazi ya Police si kulinda wahalifu,ni kukamata wahalifu ili wapelekwe Mahakamani!! Subiri siku ukikamatwa na police wa ukweli,siku hiyo ndiyo utajua kua Jeshi la Police ni zaidi ya ulijuwavyo kwa ukubwa wake!!
 
Kazi nyingine kama zina laana vile. Kila watakachofanya lazima kuwekewa nongwa. Hao ni polisi kikosi maalaum..CRT..yamkini kulikuwa na tukio mahali hivyo wanajitahidi kuwahi ili ku rescue situation... wakichelewa inakuwaga nongwa..wakitaka kuwahi huko barabarani nongwa...eh
 
Huku chuga kuna Dogo aliwanyoosha,walimfungia barabara kwa kutumia l/Cruiser yao Dogo akawanyooshea akapita nao.
Mwisho ikawaje baada ya kupita nao? Kuna mda mwingine ni bora kutumia akili kuliko bangi.
 
Mwisho ikawaje baada ya kupita nao? Kuna mda mwingine ni bora kutumia akili kuliko bangi.
Mwisho wake?polisi waliumia vibaya sana.
Na cha ajabu kesi ilwageukia polisi kublock Gari lisilokuwa na breaks.

Mbona kwenye media picha za majeruhi hao zilitembea sana.
 
Itakua alienda Kenya,maana huo ni bonge la msala
Alikamatwa na aliachiwa baada ya muda.
Kosa LA polisi ni kumblock kwa kuifunga barabara kwa cruiser ili asimame.

Sasa Gari halikuwa na breki,kwa hivyo Gari LA polisi likatumika kama breki,polisi hawanaga akili sometimes.
 
Back
Top Bottom