Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Kwa hiyo wao hawana akili?Tumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........
Division 4 ni mbali sn kaka, hawa wengi wanatumia vyeti vya watuSasa kama umeishia form four na kupata division four, unategemea nini? Utatumwa tu kama mtoto na watawala kufanya chochote.
Sahihi kabisaPolisi wanaruhusiwa kutii amri halali tu, si maagizo ya kufanya uovu.
Then haiwezekani kutumia akili zaoDivision 4 ni mbali sn kaka, hawa wengi wanatumia vyeti vya watu
Hv Utajuaje h n amri halali au sio halali?Polisi wanaruhusiwa kutii amri halali tu, si maagizo ya kufanya uovu.
Sasa hy inakuwa sio amri.Hawaruhusiwi kuchanganya na zao wakishapewa amri?
Hawezi kutumia akili tenaThen haiwezekani kutumia akili zao
labda tuwalaumu kwa hilo la kukosa hruma. kama umeshamkamata mtu. hakuna haja ya kuwavunja miguu, then police have to act according to the inner instinct of a human being!Wanaelewa ila atleast wawe na huruma hatakama unapokea maagizo. Imagine kumvunja mtu miguu au mikono au kuua kabisa
perfectly well saidKila linalojiri lina baraka kutoka juu.
Ukimya wa wenye mamlaka ni ithibati kuwa haya yote ni maagizo yao.
Tumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........
Sio amri halali maana si kosa kisheria mwananchi kuhudhiria mahakamani. Ni suala la kuangalia sheria inasema nini, na sio boss wako anataka nini.Hv Utajuaje h n amri halali au sio halali
Kwa mfano ww n boss wangu na mm n polisi, umenambia hakuna mtu anatakiwa kuwepo mahakamani leo, hvy ukiwaona uwapige ili waondoke hapo, h n amri halali au sio halali?
Kuwepo mahakamani kunavunja sheria gani? Ndio maana wamewatupa mabwepande maana wangewapeleka Central police pale kusingekua na kosa la kuwashtaki.Hv Utajuaje h n amri halali au sio halali?
Kwa mfano ww n boss wangu na mm n polisi, umenambia hakuna mtu anatakiwa kuwepo mahakamani leo, hvy ukiwaona uwapige ili waondoke hapo, h n amri halali au sio halali?
Popote ambako wapinzani wanakamatwa wanaotoa amri ni moja kati ya hawa wanneTumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........
UKIMYA WA WALIOTAJWA HAPO NI WAZI NDIO WALIOWATUMA.
Mr tabasamuTumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........
UKIMYA WA WALIOTAJWA HAPO NI WAZI NDIO WALIOWATUMA.
Acha ujinga wewe. Siyo kila amri inayotolewa ni Halali!! Unatakiwa: TO OBAY LAW AND ORDER. Kutii AMRI na TARATIBU. Siyo kutii kila amri hata za kidikteta zinazoenda kinyume na KATIBA, SHERIA na KANUNI za JMT!!Ndivyo ilivyo, Polisi hawana kosa lolote mana wanatii amri za maboss zao.
Ila chadema hawataki kuelewa hilo wakati hata wao wakishika nchi nao watatoa amri kwa hao polisi mana watakuwa ni maboss wao
Chadema wakishika nchi hawatowatumia police Wala wanajeshi.Ndivyo ilivyo, Polisi hawana kosa lolote mana wanatii amri za maboss zao.
Ila chadema hawataki kuelewa hilo wakati hata wao wakishika nchi nao watatoa amri kwa hao polisi mana watakuwa ni maboss wao