Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Chains of Command ziko hv:Popote ambako wapinzani wanakamatwa wanaotoa amri ni moja kati ya hawa wanne
Aigiipii
Rpc
Rc
Dc
Hao ndiyo watoa amri
Wana akili sana, akikataa may be anapelekwa court marshal and can face a firing squard. Ni Ngumu kuwalaumu moja kwa moja. ILA tuwalaumu kwa nini wanawavunja miguuu na mateso mengine wanaowakamata?Kwa hiyo wao hawana akili?
Kwa hiyo mama hahusiki, hana baya?Popote ambako wapinzani wanakamatwa wanaotoa amri ni moja kati ya hawa wanne
Aigiipii
Rpc
Rc
Dc
Hao ndiyo watoa amri
exactly, waligundulika wakamezewa....Division 4 ni mbali sn kaka, hawa wengi wanatumia vyeti vya watu
HausikiKwa hiyo mama hahusiki, hana baya?
anahusika sana, tena sana. Durtete alikuwa hashiki bunduki kuwaua aliokuwa anasema wanauza madawa ya kulevya. Lakini ndiye aliyeko ICC!Kwa hiyo mama hahusiki, hana baya?
CCM wanawalipa IGP na CDF Pesa nyingi sana ambazo huwezi kuamini. Hizo ni mbali na mishahara.Tumewalaumu, incluing me, polisi sana. Nina wazo tofauti kidogo...To me polisi hawa wadogo wanatumwa na akina Mulilo , IGP Wambura, Samia, may be na Mchengelwa, Makalla, Chalamila and to th least Wasira. Hawa wanatekeleza amri wanazopewa.
na inawewekana wanapewa na amri ya kuwapeleka mateka wao mabwepande /ununio na kuwavunja vuja.........
UKIMYA WA WALIOTAJWA HAPO NI WAZI NDIO WALIOWATUMA.
Mama anahusika by 100%. Kumbuka yeye ndiye AMIRI JESHI MKUU wa Majeshi yote ya Ulinzi na Usalama.Kwa hiyo mama hahusiki, hana baya?
Hapa napo ukikaa nao uwaulize wanakubali, lakini hawana option kwa sababu maisha magumu, na elimu zao hazifai, huko ndiyo walikojaa vyeti feki, hadi cha darasa la saba fekiYule Mama wa Bangladesh nayeye alikuwa akitumia Mapolisi hivi hivi lakini kadri muda ulipokuwa ukienda Mapolisi wakawa wanapuuza Amri zake.
Polisi wakaanza kuelewa kuwa wanatumiwa kisiasa.
View attachment 3318661
Kwa hiyo hata kukemea tu nayo hahusiki?Hausiki
Tangu enzi za Mwalimu JKN, sifa ya kujiunga na Jeshi la Polisi ni DIVISION ZERO(0) yaani Form IV FAILURE.CCM wanawalipa IGP na CDF Pesa nyingi sana ambazo huwezi kuamini. Hizo ni mbali na mishahara.
Na ma RPC wote, lakini huku chini kuanzia OCD Kwenda Chini hawapati kitu.
CCM plani yao ni long term, ndiyo maana hata elimu hawa tilii mkazo.
Acha UCHAWA kutetea ujingaHausiki
Siwachukii Polisi kaabisaPolisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Baada ya yule Mama wa Bangladesh kutimuliwa Mapolisi walipata heshima kubwa sana.Hapa napo ukikaa nao uwaulize wanakubali, lakini hawana option kwa sababu maisha magumu, na elimu zao hazifai, huko ndiyo walikojaa vyeti feki, hadi cha darasa la saba feki
Kwahyo kumbe ma DC wanakuwa wanajua kinachoendeleaChains of Command ziko hv:
Commander in Chief( Rais)》》》》IGP》》》RPC》》》na ma RC》》》DC( Hawa ndo Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa au Wilaya).
Jeshini kuna amri halali na isiyo halali. Jeshi la polisi linaongozwa na sheria , ukifuata ameo sana mahamani hutoboiJeshini ni Amri
Wao wanafata amri
Hawez kukemea yupo busyKwa hiyo hata kukemea tu nayo hahusiki?
Kama ulimdikia mkuu wa kambi ya kihangaiko ungenyamaza jeshi ni amri anasema mpo kwenye misheni askari mdogo anataka kumpiga adui ambae wako kwenye battle inatoka amri usimpige adui na ww unatakiwa utulie hv hv anasema jeshi si lolote bali ni nidham na amriMnatuumiza alafu mnafanya danganya toto.
Waambie ni wajinga na wapumbavu Ipo siku wataambiwa wale mavi yao na watatii amri sio?Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa
Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao
Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri
Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa
Polisi wanawapenda Watanganyika
Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu