Amri ziwe halali. Ukiambiwa piga mtu hiyo sio amri halali. Kama kuna mtu au watu wanaovunja sheria, utaratibu ni kuelezwa kosa lao na kuwakamata na kuwapeleka mahakamani.Jeshini ni Amri
Wao wanafata amri
Uko sahihi kwakuwa jeshi halipo chini ya rais. Na Chadema ikitoa rais hatokuwa amri jeshi mkuu.Chadema wakishika nchi hawatowatumia police Wala wanajeshi.
Ishu sio upo mahakamani, ishu n upo kwa lengo gani.Kuwepo mahakamani kunavunja sheria gani? Ndio maana wamewatupa mabwepande maana wangewapeleka Central police pale kusingekua na kosa la kuwashtaki.
Wangeweza tu kuwakamata na kuwaachia baadae kama walivyofanya kwa heche bila kuwa na haja ya kupiga watu kama vibaka.
Absolutely; Haki za binadamu na utu vinapaswa kupewa kipaumbele hata katika utekelezaji wa sheria. Hakuna sababu ya kuendelea kumuumiza baada ya kumkamata au kuzuia uhalifu badala yake sheria itumike.labda tuwalaumu kwa hilo la kukosa hruma. kama umeshamkamata mtu. hakuna haja ya kuwavunja miguu, then police have to act according to the inner instinct of a human being!
Wangebaki labda 15 jeshi zimaexactly, waligundulika wakamezewa....
Hii ni kauli nzito sana inayogusa haki za binadamu na maadili ya utawala wa sheria.Ukivunja wapinzani miguu huko polisi unapata hela nyingi. Na ukiua mpinzani unapanda cheo.
Kiwake, kakiwashe chumbani kwako.Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa
Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao
Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri
Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa
Polisi wanawapenda Watanganyika
Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Kiwake, kakiwashe nyumbani kwako.Watu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa
Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao
Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri
Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa
Polisi wanawapenda Watanganyika
Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Acha ujinga Fala weweHuwezi amini polisi wanaumizwa na wanachofanya
Never forever, polisi ni adui wa kwanza wa haki, hawa watu wamelaaniwa kabla hata dunia haikuumbwa.Polisi wanawapenda Watanganyika
Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Kwani mahakamani si wanakwenda kusikiliza kesi au uliona kuna mtu anaandamana pale? Au amebeba bango?Ishu sio upo mahakamani, ishu n upo kwa lengo gani.
mtu hatendi crime kwa mensrea pekee! hadi pawepo na acteus reus. after all, mensrea ya mtu kwenda/kuwepo mahakamani unaipimaje.Ishu sio upo mahakamani, ishu n upo kwa lengo gani.
Sasa itakuwajeWatu wengi wametupa lawama Kwa jeshi la polisi Kwa Yale waliotenda Jana Kwa kuwakamata Watanzania wasiokuwa na hatia, kuwapiga na kuwatelekeza porini pasipo na usalama na baadhi kuuwawa
Nina marafiki polisi, nimejatibu kuwauliza, kwanini watende ukatili huo Kwa Watanzania wenzao
Wote wanajibu kuwa nao hawapendi na wanaumizwa na matendo Yao ila wafanyeje kukwepa Amri
Polisi wanatamani watu wafurike mahakama, yaani kiwake ila ndo ivo wanatokea watu wachache ambao hawawezi kumwambia wakubwa wao kwamba wamewashindwa
Polisi wanawapenda Watanganyika
Polisi ni ndugu, watoto na Watanzania wenzetu
Kazi kweli kweliKwani mahakamani si wanakwenda kusikiliza kesi au uliona kuna mtu anaandamana pale? Au amebeba bango?