Polisi: Idris Sultan anashikiliwa kwa kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya kimtandao

Huyo kijana hajitambui
Comedy zenyewe hawezi anajichekesha km mitoto ya mombasa

Ashughilikiwe tu
kwa nini unafuatilia comedy zake si uende kwenye pages zinazokuchekesha. Pole kwa njaa, maana unaonekana umetype kwa chuki sana
 
Siwezi kumchukia mjinga km yule Mkuu namdharau tu
kwa nini unafuatilia comedy zake si uende kwenye pages zinazokuchekesha. Pole kwa njaa, maana unaonekana umetype kwa chuki sana
 
Alishawahi kumcheka BABA yake? Au MAMA yake? tena hadharani vile? Kuna muda lazima tuwe na adabu. yeye mbona alikua anafanya maonyesho ya kuvaa chupi? Watoto wake au wajukuu wake watamcheka pia...
 
Alishawahi kumcheka BABA yake??? Au MAMA yake? tena hadharani vile? Kuna muda lazima tuwe na adabu. yeye mbona alikua anafanya maonyesho ya kuvaa chupi? Watoto wake au wajukuu wake watamcheka pia....
Shida ya huyo kijana baada ya kupata fedha ya Bba amekuwa na kiburi sana, adabu hana huwezi kumcheka mtu mzima kama yule tena Rais wa nchi. Asipo mheshimu kwa cheo cheka cha urais basi angalau hamheshimu kwa umri wake tu.
 
Aliyekamatwa ni mjinga anastahili kuwa kule
Ujinga ni nini?

Ujinga wake ni nini?

Anastahili vipi kuwa kule?

Asiyestahili kuwa kule ana sifa gani?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Simjui huyo kijana I don't concentrate on stupid people like that

Tanzania kuna endorsement gani? Km kuna kampuni inaenda kuweka image yake kwa yule kijana basi ni makampuni haya ya kupeana Kwasababu tunafahamiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…