Polisi Iringa yawaua majambazi saba

Polisi Iringa yawaua majambazi saba

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Good work
👇
20220930_201144.jpg

20220930_201429.jpg

20220930_201153.jpg
 
Genge la CCM kwenye ubora wa kuua
Nitakuwa mtu wa mwisho kushabikia mauaji yanayofanywa na policcm kwa kisingizio cha ujambazi!

Si ndiyo hawa hawa waliowahi kuwaua wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge Ulanga, halafu wakatengeneza uongo kama huu wa kuwasingizia eti walikuwa ni majambazi!

Achilia mbali yule mfanyabiashara wa Mtwara aliyeuwawa miezi kadhaa iliyopita!
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kushabikia mauaji yanayofanywa na policcm kwa kisingizio cha ujambazi!

Si ndiyo hawa hawa waliowahi kuwaua wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge Ulanga, halafu wakatengeneza uongo kama huu wa kuwasingizia eti walikuwa ni majambazi!

Achilia mbali yule mfanyabiashara wa Mtwara aliyeuwawa miezi kadhaa iliyopita! Achilia mbali yule Mzee mstaafu wa Arusha aliyebambikiwa meno ya tembi na polisi hao hao!!!
Not everyday is saturday
 
Hiyo ripoti ya polisi Iko sawa hiyo? Tarehe 30 September 2022 saa nane usiku ni tayari kweli?
 
Back
Top Bottom