Polisi Iringa yawaua majambazi saba

Polisi Iringa yawaua majambazi saba

Wewe pimbi shida yako nini?
Shida yangu ni kuwa ni vibaya Kwa taarifa rasmi ya taasisi kubwa kama PT kuwa na makosa ya waziwazi kabisa. Kwanza inaonesha upungufu wa weledi lakini pia inaonesha kutokuwa makini kitu kinachoweza kuleta kutoaminika Kwa taarifa yenyewe.

Baada ya kueleza shida yangu turudi kwenye upimbi Sasa. Unahisi kati yangu na wewe nani ni pimbi zaidi tupu ya nyuma wewe? Mtu gani usiye na ustarabu hata kidogo? Unashindwaje kuwasilisha mawazo Yako bila kutukana watu, unahisi wewe ndo unayaweza sana matusi sio?

Chukua tahadhari baradhuli wewe, usishoboke na watu usiowajua wengine hatuna ashki na Wanaume kima wewe
 
Hongera kwa jeshi la polisi mkoa wa Iringa kwa kazi nzuri ya kupunguza majambazi kwenye jamii yetu
Hao watu hawastahili kuonewa huruma kabisa. Walisheni cha moto mpaka waishe kabisa.
 
Shida yangu ni kuwa ni vibaya Kwa taarifa rasmi ya taasisi kubwa kama PT kuwa na makosa ya waziwazi kabisa. Kwanza inaonesha upungufu wa weledi lakini pia inaonesha kutokuwa makini kitu kinachoweza kuleta kutoaminika Kwa taarifa yenyewe.

Baada ya kueleza shida yangu turudi kwenye upimbi Sasa. Unahisi kati yangu na wewe nani ni pimbi zaidi tupu ya nyuma wewe? Mtu gani usiye na ustarabu hata kidogo? Unashindwaje kuwasilisha mawazo Yako bila kutukana watu, unahisi wewe ndo unayaweza sana matusi sio?

Chukua tahadhari baradhuli wewe, usishoboke na watu usiowajua wengine hatuna ashki na Wanaume kima wewe
Sasa kwani hujui saa nane usiku wa tarehe 30/9/2022 ni usiku wa kuamkia leo?
 
Sasa kwani hujui saa nane usiku wa tarehe 30/9/2022 ni usiku wa kuamkia leo?
Wewe unasema Kwa saa za kiingereza nadhani u mean 2:00am hiyo ni Kwa mitaala ya saa za kizungu, kiswahili kama ambavyo barua imeandikwa ni saa nane usiku wa tarehe 30
 
Good work
👇
Katika briefing kama hizi za kutoka Polisi, sijawahi kusikia hata siku moja kuwa Polisi mmoja au wawili walijeruhiwa au kuuwawa. Mapambano makali lakini wanaokufa ni "majambazi sugu" tu wenye silaha kali za moto. Yaani, utafikiri movie, sterling hauwawi, kila ukitaka kumpiga risasi anakuwahi yeye!

Polisi, muwe mnamuua au kujeruhi na jamaa yenu mmoja basi ili tuwaamini kuwa kweli majambazi waliuwawa baada ya mapambano makali au wakikimbizwa hospitali! 🤣🤣 🤣
 
Aiseee sahizi kama ni jambazi inabidi kuwa makini
Hawa jamaa wanaua tu hapo usikute hao walimaliziwa tu kuepusha usumbufu na trip za mahakamani

Ila swali la msingi nani kawachoma ?

Sent from my 220333QAG using JamiiForums mobile app
Umesema kweli Sana, hawa mapimbi wa ccm hayawezi kukuelewa wanashangilia tu! Sio wote ni wahalifu, wengine ni washukiwa tu na polisi wamechoka kuandika mashtaka, wanataka shotkati tu sasa!
 
Chadomo wanawatetea 😁😁
Hoja walishaishiwa baada tu ya kumkaribisha EL. Ilikuwa ni smart move lakini ilitibua kiwango Cha kuaminiwa tena na Wananchi Kwa sababu kabla ya kumkaribisha EL walisema pale jangwani kwamba ndio fisadi papa. Hadi kitakapopatikana chama kingine labda miaka ya 2150 Ndipo upinzani utaweza kuaminiwa tena. Ujuaji na ubishi wa CDM ulishabakia humu JF tu.
 
Ccm kila kitu wanashangilia. Akina Halima Mdee kula kodi zetu kihuni wanashangilia,Polisiccm kuua watu ovyo wanashangilia,bei ya vyakula kupanda wanashangilia. Sina hakika km hawa wenzetu kichwani zinawatosha.
 
Jeshi la Polisi letu wakiamua kuwatokomeza kabisa majambazi, wanaweza, jeshi liko vizuri sana
 
Back
Top Bottom