Polisi Iringa yawaua majambazi saba

Genge la CCM kwenye ubora wa kuua
Nitakuwa mtu wa mwisho kushabikia mauaji yanayofanywa na policcm kwa kisingizio cha ujambazi!

Si ndiyo hawa hawa waliowahi kuwaua wafanyabiashara wa madini kutoka Mahenge Ulanga, halafu wakatengeneza uongo kama huu wa kuwasingizia eti walikuwa ni majambazi!

Achilia mbali yule mfanyabiashara wa Mtwara aliyeuwawa miezi kadhaa iliyopita!
 
Not everyday is saturday
 
Hiyo ripoti ya polisi Iko sawa hiyo? Tarehe 30 September 2022 saa nane usiku ni tayari kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…