Inaitwa corporal punishment, tunaitaga 70 ila huwa hazihesabiwi na unapigwa na watu wawili wanapokezana huyu akipiga mwingine anafata hakunaga hata sekunde ya kuskilizia wakichoka kukuchapa ndo wanasema wamekupiga 70 ila kiuhalisia unaweza kuchezea hata fimbo 300 lakini jina lake inabaki kuitwa 70