Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Adhabu ya kipuuzi.Hiyo adhabu ya Fimbo 70 ipo katika jamii ya Wamasai na Wameru tangu enzi na enzi...kama mzazi wake hasa Baba angeenda kuomba msamaha basi angepaswa kuchinja ng'ombe na kijana wake atachapwa fimbo 35 yaani nusu ya 70
Kufurukuta ni vigumu kwasababu unakamatwa na Wanaume sio chini ya 20 na wanahakikisha huwezi furukuta
Sasa imeenda kusababisha familia kukosa baba.
Watoto wanaenda kuwa machokoraa wa mitaani mtoa huduma wamemuuwa.
Sidhani Kama lengo la adhabu kuleta shida ya kudumu. Subiri waijibu jamhuri kesi ya kuuwa.