Polisi jamii auliwa baada ya kuchapwa viboko 70!

Polisi jamii auliwa baada ya kuchapwa viboko 70!

Hiyo adhabu ya Fimbo 70 ipo katika jamii ya Wamasai na Wameru tangu enzi na enzi...kama mzazi wake hasa Baba angeenda kuomba msamaha basi angepaswa kuchinja ng'ombe na kijana wake atachapwa fimbo 35 yaani nusu ya 70

Kufurukuta ni vigumu kwasababu unakamatwa na Wanaume sio chini ya 20 na wanahakikisha huwezi furukuta
Adhabu ya kipuuzi.
Sasa imeenda kusababisha familia kukosa baba.
Watoto wanaenda kuwa machokoraa wa mitaani mtoa huduma wamemuuwa.
Sidhani Kama lengo la adhabu kuleta shida ya kudumu. Subiri waijibu jamhuri kesi ya kuuwa.
 
Inaitwa corporal punishment, tunaitaga 70 ila huwa hazihesabiwi na unapigwa na watu wawili wanapokezana huyu akipiga mwingine anafata hakunaga hata sekunde ya kuskilizia wakichoka kukuchapa ndo wanasema wamekupiga 70 ila kiuhalisia unaweza kuchezea hata fimbo 300 lakini jina lake inabaki kuitwa 70
Human torture.premptory norm
 
Back
Top Bottom